Ni dhahiri sasa kuwa kitendo cha madiwani wote wa Lowassa kuhamia chadema ina maana kuwa moshi mweupe wa ukombozi sasa umehamia chadema rasmi na kuondoka mikononi mwa 'KITENGO' ambacho hakimtaki rais kutoka kaskazini!
Hivyo, tunawasihi popote pale mlipo wafuasi wa Edward Lowassa tuungane wote kwa pamoja tukaimbe wimbo wa ukombozi ndani ya Chadema!
Mfuasi yeyote wa Lowassa atakayebaki katika chama cha kitengo sio mwenzetu, wote tumehamia rasmi chadema!
Karibuni sana tuimbe nyimbo za ukombozi, tuwaache ccm waimbe nyimbo za 'kitengo'!
Viva UKawa, viva Chadema!