Nani awe Waziri katika Serikali ya Magufuli

Nani awe Waziri katika Serikali ya Magufuli

Waziri wa fedha wema sepetu kutoka Oklahoma university
waziri wa sheria irene uwoya wa Salford

ajira viwanda na uzalishaji said fella mbunge wa kuteuliwa
 
Badala ya kujadili sifa za mawaziri wanaofaa eti yatajwe majina. . . . . .Nchi hii hata sijui inataka nini
 
Ndio maana lowasa kwenye hotuba yake katanguliza elimu ba mabadiliko ya fikra
 
Rizwani
Miraji mbunge wa kuteuliwa
Makingoro
January
Mwinyi
Limutuz
Wema
Diamond
Lol....
 
Sasa kwanini wewe usijadili hizo sifa za hao mawaziri umeshindwa nini??

1. Kazi huwekwa minimum requirements watu wanajipima na kuomba . . .. sio bahataisha sababu eti uwaziri hauna shule. . . .
2. Mawaziri kutokana na wabunge sikubali hata kidogo inawajaza viburi na kuwatenga sana na makatibu wakuu. . . .Waziri na katibu mkuu wawe "pure technocrats". . . . .Mambo ya waziri kumsujudia katibu mkuu wa chama NO NO. . . .imetosha!!!!

Thus, sifa zitategemea muundo wa wizara na serikali kwa ujumla wake. . . . .Division of labour and specialization at its best. . . mwenzetu sijui kada wa muda mrefu babake this mama yake that. . . . .NO NO
 
Prf Muhongo anaweza ku-shape baraza na wizara kuwa watendaji waadilifu. Na kumatch na JPM, wote hawataki kushindwa kirahisi.
 
Back
Top Bottom