Nani au kipi cha kuheshimiwa kwanza kati ya kazi na bosi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani au kipi cha kuheshimiwa kwanza kati ya kazi na bosi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Limbukeni, Jun 1, 2009.

 1. L

  Limbukeni Senior Member

  #1
  Jun 1, 2009
  Joined: Feb 27, 2009
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wafanyakazi wamejikuta katika wakati mgumu wanapolazimika kufanya kazi kinyume cha maadili kwa kuheshimu mabosi wao, hali hii imepelekea kufilisika au kutajirika kwa makampuni mengi .je wadau manasemajee kuhusu hili nani anatakiwa aheshimiwe au kipi kati ya maadili ya kazi na bosi.
   
 2. Mutensa

  Mutensa JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2009
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 426
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mkuu kama boss yupo kwa maslahi ya kampuni, bila shaka atakuwa anawaongoza watu wote kuelekea kwenye malengo na mtazamo wa kampuni. Kwa hiyo kwa kumheshimu boss, utakuwa unaheshimu kazi yako. La hasha, kama unahisi boss ana maslahi binafsi na anatafuta kutumikisha watu kujinufahisha, basi huyo ni fisadi na mtu wa mataifa ... hakuna haja ya kumheshimu sana sana ni muhimu kumrepoti kwa vyombo husika awajibishwe.
   
 3. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mi nafikiri umeuliza swali hili....incase kunatokea uchague kati ya vitu hivyo viwili hapo juu....yaani someone yupo in such a situation and has to choose one!

  In short kwangu mimi, kama upo very confident na ujuzi wa kazi, uzoefu, elimu, utendaji kazi....better choose to respect job kwa sababu...kazi hiyo ndiyo itakupa ulaji katika maisha yako yote yaliyobakia.....boss atapita....kazi kamwe haipiti ila unaweza badilisha mazingira tu...kazi ikabakia ileile tu!
   
 4. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0

  Mkuu,
  Kwa mara ya kwanza nimepata shida sana kuelewa mada.Kabla sijashiriki mjadala, naomba unifafanulie yafuatayo:
  1. Maadili gani unayoyazungumzia hapa?
  2. Makampuni hayo mengi yaliyotajirika kwa kufanya kazi kinyume na maadili ni yapi?
  Asante
   
 5. L

  Limbukeni Senior Member

  #5
  Jun 1, 2009
  Joined: Feb 27, 2009
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  that wa the best way the question should have been thank you very much in deed. Meet soon in the free tz to practise this fundamental principles so change can come in dodoma. May God bless Tz
   
 6. L

  Limbukeni Senior Member

  #6
  Jun 1, 2009
  Joined: Feb 27, 2009
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  next level kamaliza kazi naomba usome maoni yake asante sana kwa kushiriki
   
 7. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #7
  Jun 4, 2009
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,653
  Trophy Points: 280
  Is not a matter of kazi, uzoefu, elimu, utendaji kazi...., but it's a matter of professionalism! That's all.if you care about your profession, then do what job want you to do!,
   
Loading...