puliz caven dish kuja haraka
..we muache tu..watoto wa mujini..wachangamkie ZALIkipaji halisi huyu mtoto caven dish inaonyesha hayuko serious ngoja wenzie wachangamkie tenda.
.....Aisee..kumbe nyie wapendanao..?
..kwenye BOLD..ni mimi eeehkipaji halisi sie siyo wapendanao ila Arushaone ananitafutia tu kasheshe kwa mpendanao wangu wa sasa.
Mi nilidahi unatafuta partner wa kukusindikiza kumbe wataka kulipiwa?
eee mwaya, kuna ule usemi usemao "you don't ask, you don't get"
kipaji halisi huyu mtoto caven dish inaonyesha hayuko serious ngoja wenzie wachangamkie tenda.
weee am serious ki kweli kweli!