Nani atanipeleka White Party?

caven dish

Senior Member
Joined
Sep 12, 2011
Posts
124
Reaction score
86
Wapendwa!

Really missed you guys!Si nilisahau password yangu nikapotea jiii narudi nakutana na mambo kibao

Sasa natafuta wakunipeleka hiyo White Party tarehe 26 jamani ukata wa January mbaya sana huu
 
Wapendwa!

Really missed you guys!Si nilisahau password yangu nikapotea jiii narudi nakutana na mambo kibao

Sasa natafuta wakunipeleka hiyo White Party tarehe 26 jamani ukata wa January mbaya sana huu

Mi nilidahi unatafuta partner wa kukusindikiza kumbe wataka kulipiwa?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…