Nani aolewe?

Nani aolewe?

Rafiki kwakua umeomba ushauri basi nitakupatia kama ifuatavyo:
1. Mdada wa kwanza anafaa kabisa kuoa kwani ugonjwa huo unatibika, hata kama itashindikana kupona unatakiwa kuwa rafiki wa pampasi au nepi, vinginevyo uwe unalala kidogo na kushituka ili umpeleke kukojoa kila wakati. ikitokea kasafiri mpe pampasi au umshonee chupi yenye karatasi kwa ndani ili mkojo usivuje.
2. Mdada wa pili hakika atakuumiza kichwa maana uongo huwa hauna tiba, hata hivyo uongo huleta mafarakano, huvunja mahusiano baina ya ndugu, marafiki na jamii kwa ujumla.
3. Mdada wa tatu ni mzuri kwani ugonjwa wake unaweza kutibika, ila kwakua ni wa wastani hivyo anazidiwa na yule kikojozi, hata hivyo harufu ya mdomo+kwapa utakosa raha kabisaa hasa wakati wa chakula cha wanandoa.

Naomba uoe kikojozi ndugu yangu mambo yote yatakaa vizuri.
 
ningeshauri wakat unafanya research,uwe unawaweka wazi na wao wawe na research zao na sample space sawa na zako kabisa..Gender balance
Haviozi ila vina-diminish na ubora unapungua. Refer Darwin's use and disuse theory.



Usikubali tu bro, put some sense into her pliz...!:tape:
 
Nina mahusiano na wasichana watatu wenyesifa zifuatazo:-
WA KWANZA
. Mpole, anaweza kazi zote (kitandani na nyumbani), mzuri wa muonekano, busara na heshima ila anakojoa kitandani
WA PILI
.Mapepe, mvivu wa kitandani ila kazi za nyumbani anaweza, mzuri wa sura, ana dharau kwa watu wengine wakiwemo ndugu zangu,msafi ila muongo na anapenda kusifiwa.
WA TATU
.Mcheshi, msafi wa mwili, ana tabia nzuri,ni wa wasitani katika kazi zote, mzuri wa muonekano ila ananuka mudomo na kikwapa hata apige mswaki na kuoga vipi!


Ushauri wako ni muhimu sana!

Kwanza wewe huna maana unakuwaje na uhusiano na wanawake wote hao?
Pili hii ni ya kutunga
Kama sio ya kutunga,umeshindwaje kujua ni nani wa kuoa hapa basi nina wasiwasi na uwezo wa kufikiri wa akili yako!!!!!!!!!!!
 
ningeshauri wakat unafanya research,uwe unawaweka wazi na wao wawe na research zao na sample space sawa na zako kabisa..Gender balance

like it never happens!?? Hii kitu ni silent rule ni vile tu huyu jamaa kaenda an extra step kuwaita wachumba hiyo si halali kwa kweli!!!
 
Hamtaniita lover boy au kuniona nami ni sehemu ya mapungufu, maana jamii lazima uiheshimu?
Kumiliki tu hao watatu tayari wewe ni PLAY BOY,utakuwaje nao watatu alafu iwe kawaida??Hilo jina la Lover boy tayari unalo kwa hiyo usilihofie kabisaaa,wewe tafta mwingine tofauti na hao.
 
Siwapendi watu wa hivi..unakua na wachumba watatu kwa wakati mmoja..namna hii ukimwi utaisha kweli.
 
huoni kama ntashindwa kufurahia tendo la ndoa, nitakuwa siwezi kumuandaa kabla ya tendo kwa sababu ya harufu mbaya hivyo ntalidhisha nafsi yangu tu na kumuingilia mtu bila kumuandaa hakuna tofauti na kumbaka!

Kwani mwanzoni ulikuwa unafura hia vipi?Utafurahia kwa utaratibu ule ule ulivyozoea.
Kwani mwanzo ulikuwa unamuandaa vipi?Utatumia utaratibu uleule unaotumia.
Kama ni kumbaka ulishambaka sana na amezoea ndio mana mpaka sasa hajakuacha,usihofu kwa hilo.
 
Vipi tukipata dharura tukalala Hotelini au tukasafiri na kuwa wageni wa jamaa au rafiki wa karibu tukalala huko au yeye akapata dharura na kwenda kulala kwa ndugu au jamaa/rafiki inakuwaje sasa? huoni hiyo wasiwasi itanisababishia madhara kisaikolojia na kupunguza radha ya ndoa?

pampers zinazuia mkojo kwa 100% na hata haja kubwa akijisikia kuachia kitu kitandani bado hakuna kitakachoharibika,afu unamwamsha mapema saa 11 kuweka mambo sawa,sema hapa changamoto ya harufu ya haja kubwa inaweza kubadili hali ya hewa chumbani.
 
sikuwachukuwa siku moja kila mmoja aliongezewa mtu kutokana na mapungufu hayo lakini nimegundua nakoelekea sibahatiki so natafuta suluhu sikuwa na lengo la kuwa na watatu! nilianza na moja lakini nilikuta heli jana kuliko leo!
Ulipogundua mapungufu kwa nini uliamua kuongeza mwingine bila kumwacha wa mwanzo kama njia zote zimeshindikana?Haya wa pili nae tatizo limekushinda hujamuacha na unatafta mwingine huku tayari unao wawili,uitwe nani wewe kama si playboy kwa kuwamiliki wote?Au uitwe mwaminifu?????????Au uitwe mvumilivu????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom