julius mahinya
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 1,152
- 384
- Thread starter
- #121
Kwa kweli sikuwaza!kwani hao watatu hao hukuwaza ya kuitwa lover boy
Kwa kweli sikuwaza!kwani hao watatu hao hukuwaza ya kuitwa lover boy
Ndo maana kuna pampasi so hata akienda kwa ndugu awe nazo.Vipi tukipata dharura tukalala Hotelini au tukasafiri na kuwa wageni wa jamaa au rafiki wa karibu tukalala huko au yeye akapata dharura na kwenda kulala kwa ndugu au jamaa/rafiki inakuwaje sasa? huoni hiyo wasiwasi itanisababishia madhara kisaikolojia na kupunguza radha ya ndoa?
kuwa makini, sio unaombaomba tu ushauri. kwanza hatujui hata ww mwenyewe mapungufu yako, Unapoomba ushauri kama huu sikurupuke.
Hauoni ntamdhalilisha na ndugu watajua anakojoa lakini pia tutakua tunaona aibu!Ndo maana kuna pampasi so hata akienda kwa ndugu awe nazo.
Kwa kweli sikuwaza!
Too late!then you should do so!!!!!!!!
Ok nilicho elewa kutoka kwenye mchango wako ni kuwa unataka kujua nampenda nani zaidi? ili unishauri nini nifanye? ok katika hao watatu kifupi kila mtu ana nafasi sawa ila tatizo ni hizo changamoto sasa wewe nishauri nichangamoto ipi inatatulika na kirahisi zaidi au hata ungekuwa wewe ungeivumilia kwa muda wote! niamue wa kumuoa!This does not make a sound!
Alternatively . . . labda ungeomba ushauri wa vipi umsaidie walau hata mmoja wapo unaemfeel zaidi ili umuoe.
Atleast mapenzi yako ningeyaelewa.
Too late!
why it is not too late while u are already given me the name called lover boy!? how ill i go back and delete the HISTORY?Its never too late....
why it is not too late while u are already given me the name called lover boy!? how ill i go back and delete the HISTORY?
Maana ya maelezo yako ni ipi? ehm dadavua kauli yako, neno mtoto ni chini ya miaka 18, mtoto wa shule unamaanisha ni mwanafunzi wa shule ya msingi na baadhi yao walioko sekondari? Kifupi ni kwamba hata hao wa sekondari waliosoma vizuri fasihi naamini wana uwezo mkubwa wa kujifunza makubwa kupitia michango ya ulio wadharau maana wamekuwa na uwezo wa kuona ujumbe uliomo kwenye mfano huu!Hili jukwaa naona linavamiwa na watoto wa shule
its never too late until otherwise you decide it to be that way!!!!!!!
You said your afraid to be called a Lover boy while you have 3 girlfriend which makes NO DIFFERENCE!!!
Go back and delete the HISTORY,NO WAY as sometimes we think :angel::angel:
"if only had done this or that then things would have been different and better now".
That may be true but you cannot really change the past unless you got a time-machine......
Maana ya maelezo yako ni ipi? ehm dadavua kauli yako, neno mtoto ni chini ya miaka 18, mtoto wa shule unamaanisha ni mwanafunzi wa shule ya msingi na baadhi yao walioko sekondari? Kifupi ni kwamba hata hao wa sekondari waliosoma vizuri fasihi naamini wana uwezo mkubwa wa kujifunza makubwa kupitia michango ya ulio wadharau maana wamekuwa na uwezo wa kuona ujumbe uliomo kwenye mfano huu!
Kuliko wewe kubwa zima umedhani umri ni busara na maarifa unadharau walio toa michango na mtoa hoja! Nakusubiri ufike kwenye lengo nikuonyeshe mimi ni nani? Najua kuna mahala huwezi vuka kwa kujitia kimbele front (fore bee)! mchango ulio utoa kwenye uzi huu hauna utofauti na picha ilioko kwenye profile yako ikikuwakilisha ulivyo kimawazo, mtazamo na moyo wa kujitolea na pengine hata elimu na imani yako!
Lover boy is a boy in a sexual relationship outside marriage, On my side i'm not yet married to any one of them but i afraid if i let one of them to be my wife i ill be called lover boy since her weakness will lead me to do so as i did before marriage b'se i started with the first one then due to her weakness i decide to add another one the the same thing happen!
What i have learn t is better to make right choice among them since no one is perfect! so ur advice please!
In reality it is so difficult to change the nature of some one! That is ur nature there is no way i can prove to u about the reality of the story! bt thax for ur time & MB.More advise NO WAY!!!!you have been given all the advise in this world
make USE of it.....by the way I find it so hard to believe that story of yours
NANUKUU BAADHI TU YA WALIOTOA USHAURI, KWA AKILI ZAKO HUKUONA UNAYE JIITA nitonye BASI NIMEKUTONYA INAMAANA HUO SI USHAURI AU NDIO WALE WALE MNAPITIA PAGE MOJA MNAFIKIRI MMEMALIZA MIMI NILIKWAMBIA AKILI YAKO HAIWEZI KUTOFAUTIANA NA SURA YAKO/ULIO PENDA IKUWAKILISHE! SOMA HUO USHAURI SASA HAPO CHINI:-Unatakiwa ukue bwa mdogo acha sred za kitoto embu angalia kama umepewa ushauri wa maana halafu ndio ulete huo ubabe wako
Rafiki kwakua umeomba ushauri basi nitakupatia kama ifuatavyo:
1. Mdada wa kwanza anafaa kabisa kuoa kwani ugonjwa huo unatibika, hata kama itashindikana kupona unatakiwa kuwa rafiki wa pampasi au nepi, vinginevyo uwe unalala kidogo na kushituka ili umpeleke kukojoa kila wakati. ikitokea kasafiri mpe pampasi au umshonee chupi yenye karatasi kwa ndani ili mkojo usivuje.
2. Mdada wa pili hakika atakuumiza kichwa maana uongo huwa hauna tiba, hata hivyo uongo huleta mafarakano, huvunja mahusiano baina ya ndugu, marafiki na jamii kwa ujumla.
3. Mdada wa tatu ni mzuri kwani ugonjwa wake unaweza kutibika, ila kwakua ni wa wastani hivyo anazidiwa na yule kikojozi, hata hivyo harufu ya mdomo+kwapa utakosa raha kabisaa hasa wakati wa chakula cha wanandoa.
Naomba uoe kikojozi ndugu yangu mambo yote yatakaa vizuri.