Nani aolewe?

Nani aolewe?

Nina mahusiano na wasichana watatu wenyesifa zifuatazo:-
WA KWANZA
. Mpole, anaweza kazi zote (kitandani na nyumbani), mzuri wa muonekano, busara na heshima ila anakojoa kitandani
WA PILI
.Mapepe, mvivu wa kitandani ila kazi za nyumbani anaweza, mzuri wa sura, ana dharau kwa watu wengine wakiwemo ndugu zangu,msafi ila muongo na anapenda kusifiwa.
WA TATU
.Mcheshi, msafi wa mwili, ana tabia nzuri,ni wa wasitani katika kazi zote, mzuri wa muonekano ila ananuka mudomo na kikwapa hata apige mswaki na kuoga vipi!

Ushauri wako ni muhimu sana!

Hapo hamna wa kuona...nenda kwenye maandiko...mke mwema anapatikana kwa BWANA.....hao wote umewapataje....
 
toa kibanzi ndani yajicho lako utatoa boliti kwny jicho la mwenzako,usikute mwenyew domo lanuka ''vp unaweza jigundua?''
 
Huyu katuambia ni wachumba, means kawalipia posa na kuwavisha kishika uchumba...

Hapoooo ndipo paliponichanganya!!!

Hii kuitana wachumba wakati ndo kwanza mnaanza urafiki mimi siipendagi sana...

Anyway, ngoja ni-log-off nikakusanye na mimi ka sample space kangu!!!! naanza na mjane wa mwananthropolojia ( mimisa )
 
Last edited by a moderator:
Dude!...Are yo out of ya senses?

Hapoooo ndipo paliponichanganya!!!

Hii kuitana wachumba wakati ndo kwanza mnaanza urafiki mimi siipendagi sana...

Anyway, ngoja ni-log-off nikakusanye na mimi ka sample space kangu!!!! naanza na mjane wa mwananthropolojia ( mimisa )
Haya mkuu kakusanye!
unajua kwa sasa inabidi mjuane sana mkuu kabla hujafikia huko kwenye kifungo!
 
...yes bora wa kwanza, coz anahitaji deliverance tu!km hutudanganyi
Kuokoka ni imani ya mtu ambayo mimi kama mimi kuizungumzia ntakuwa sijui, maana yeye ndio pekee anaweza kuamini ili apone japo sijajua kuokoka mpaka uwe mlokole kwanza niulize? maana nalo si dhehebu langu kama ni kwa madhehebu yote mbona anaenda church sasa na mambo ndo hivyo?
 
hapo hamna unayempenda hata mmoja, ungependa kutoka moyoni usingeuliza, ukimpenda mtu kama ana tatizo unamsaidia kutafuta ufumbuzi ili uendelee kuwa nae. so acha kuwapotezea muda. by the way, tatizo la kukojoa kitandani linatibika, acha kuwa mbinafsi mtafutie ufumbuzi wa hilo tatizo.

^^
Heri umesema kweli
^^
 
toa kibanzi ndani yajicho lako utatoa boliti kwny jicho la mwenzako,usikute mwenyew domo lanuka ''vp unaweza jigundua?''

Haya mkuu, lakini kunuka mudomo au kikwapa kunatokea kwa namuna mbili
1. tatizo la kibiologia (cell/tissue zako za mudomoni na ngozi kufa haraka)
2. uchafu(uzembe wa kupiga mswaki na kuoga)
Vitu vyote nimevifahamu katika harakati za kawaida za kutaka niokoe mahusiano yetu, unaweza kutukana kadiri uwezavyo bt mimi ntavumilia, japo sina uhakika kama ulielewa swali vizuri?
 
wote hao wewe tuu?
Nina mahusiano na wasichana watatu wenyesifa zifuatazo:-
WA KWANZA
. Mpole, anaweza kazi zote (kitandani na nyumbani), mzuri wa muonekano, busara na heshima ila anakojoa kitandani
WA PILI
.Mapepe, mvivu wa kitandani ila kazi za nyumbani anaweza, mzuri wa sura, ana dharau kwa watu wengine wakiwemo ndugu zangu,msafi ila muongo na anapenda kusifiwa.
WA TATU
.Mcheshi, msafi wa mwili, ana tabia nzuri,ni wa wasitani katika kazi zote, mzuri wa muonekano ila ananuka mudomo na kikwapa hata apige mswaki na kuoga vipi!

Ushauri wako ni muhimu sana!
 
tunaongea abt u..
kwa iyo ukatumia weakness zao kua nao wote watatu kwa wakat mmoja
Sikupenda itokee hivyo ni weakness zao zimenifikisha hapo! wewe toka uzaliwe eti mbele ya Mungu ni mmoja tu? au unamiliki kila mtu na kipindi chake?
 
tunaongea abt u..
kwa iyo ukatumia weakness zao kua nao wote watatu kwa wakat mmoja

Nilitaka ujifunze kupitia mfano huu wa kweli kuwa mapungufu yako yanaweza kumfanya mwanaume/mwanamke atoke nje ya mahusiano na kuwa kwenye chain!
watu wengi wanawalaumu watu bila kujua kuwa huenda alitumbukia kwenye wrong choice? mapungufu sikuyatumia kama sababu haja yangu ya penzi haikutimia mfano mnalala na mtu usiku anakuomba tupumzike tutafanya later na wewe unajua kweli mwenzangu amechoka unaamka saa kumi/tisa unajikuta uko baharini na maanisha umelowana una hamu na kufanya mapenzi tena mapenzi ni starehe si karaha sawa usinione wa ajabu hata wewe kuishi na kijana kikojozi sijui?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom