Nani aolewe?

Nani aolewe?

Hehe mapenzi yanahitaji uvumilivu ila hapo huwezi kuvumilia hata kimoja.
 
Ok nilicho elewa kutoka kwenye mchango wako ni kuwa unataka kujua nampenda nani zaidi? ili unishauri nini nifanye? ok katika hao watatu kifupi kila mtu ana nafasi sawa ila tatizo ni hizo changamoto sasa wewe nishauri nichangamoto ipi inatatulika na kirahisi zaidi au hata ungekuwa wewe ungeivumilia kwa muda wote! niamue wa kumuoa!

Kweli??

Basi waowe wote au uwaache wote.
 
Kweli??

Basi waowe wote au uwaache wote.
Naposema wote wako sawa natazama zaidi mimi niliwafuata na kuwashawishi ili tuwe pamoja hivyo kwa namna moja ama nyingine hata aliye na efficient ndogo naona kama niliridhika ila dada yangu kubwa ni hizo changamoto!
 
naposema wote wako sawa natazama zaidi mimi niliwafuata na kuwashawishi ili tuwe pamoja hivyo kwa namna moja ama nyingine hata aliye na efficient ndogo naona kama niliridhika ila dada yangu kubwa ni hizo changamoto!

"love is nothing but tolerance"
 
"love is nothing but tolerance"
Ni kweli mapenzi ni uvumilivu lakini uvumilivu wenyewe ni kuwa unampenda mtu labda kwa kigezo cha sura yake unamuoa kesho unakutana na mtu mwingine ana sura nzuri zaidi yake usipokuwa mvumilivu utamfuata so kama una uvumilivu ndio mapezi kwa mwenzio!
Au unamuoa mtu kesho anapatwa na tatizo kama ulimpendea tuseme vidole vyake anaugua vinakatwa so usipokuwa mvumilivu unamwacha usipo muacha then tunasema una uvumilivu and that is love!
Lakini sio hujamuoa mtu ulidhani yuko salama unamchukua kwenye testing period unagundua anamapungufu na hujaamua kumhalalisha kwenye jamii unaweza jaaribu kwa mwingine kama nilivyofanya ndio maana hata vitabu vya dini vinakutaka kuvumilia kwa shida na raha lakini mke wa ndoa!!!!!!!!!!!!!!!!
 
I can see you are coming!
Kumbe mpaka hapo tayari umeshaanza kuamua.
i.e in the name of ndoa/non-ndoa!
 
Soma vizuri hapo nilipowekea rangi ya blue.

You know . . napost huku nikiwa na mambo mengi thats why nashindwa kufafanua zaidi.
Yeah nimeamua kuingia kwenye ndoa ila wa kuingia naye sasa ndio bado na hang! ndio maana nikaomba ushauri nani nimuoe?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom