Nani aolewe?

Nani aolewe?

Kwani wewe Ukoje? tujue kwanza ulivyo tutakushauri nani atakufaa
Nina busara,muonekano wa upole japo ni mcheshi na naweza kusocialize,najua nini mwanamke anahitaji anapokua katika mazingira au hali fulani(kifupi najua kufanya mapenzi na kupenda), najali mwenzangu kwanza then mimi(namaanisha ukiweka dhahabu na shaba alafu tuko wawili niambiwe chagua wewe kwanza ntachukua shaba),Kifupi najali napenda maendeleo,siasa ila mapungufu yangu ni nikikuvua chupi nikakuta uchafu sidindishi,siwezi mapenzi ya kutumia nguvu na nahisi naijali afya yangu sana hata kama ni mpenzi lazima tupime na maanisha!
 
sa majibu yoote unayo,ya nini kutuchosha wenzio aii

huoni naelekea kumtibu kikojozi au mnuka kikwapa na mdomo? ningejuaje? au unafikiri hili ni langu tu wapo watu kupitia mimi niliejitokeza wanafaidika leo ehm lete maoni yako plz!
 
kwani hao watatu hao hukuwaza ya kuitwa lover boy
sikuwachukuwa siku moja kila mmoja aliongezewa mtu kutokana na mapungufu hayo lakini nimegundua nakoelekea sibahatiki so natafuta suluhu sikuwa na lengo la kuwa na watatu! nilianza na moja lakini nilikuta heli jana kuliko leo!
 
ni HELI ya leo kuliko ya kesho..,
 
Vipi tukipata dharura tukalala Hotelini au tukasafiri na kuwa wageni wa jamaa au rafiki wa karibu tukalala huko au yeye akapata dharura na kwenda kulala kwa ndugu au jamaa/rafiki inakuwaje sasa? huoni hiyo wasiwasi itanisababishia madhara kisaikolojia na kupunguza radha ya ndoa?

Kwani hakuna pempers za wakubwa?
 
Nina mahusiano na wasichana watatu wenyesifa zifuatazo:-
WA KWANZA
. Mpole, anaweza kazi zote (kitandani na nyumbani), mzuri wa muonekano, busara na heshima ila anakojoa kitandani
WA PILI
.Mapepe, mvivu wa kitandani ila kazi za nyumbani anaweza, mzuri wa sura, ana dharau kwa watu wengine wakiwemo ndugu zangu,msafi ila muongo na anapenda kusifiwa.
WA TATU
.Mcheshi, msafi wa mwili, ana tabia nzuri,ni wa wasitani katika kazi zote, mzuri wa muonekano ila ananuka mudomo na kikwapa hata apige mswaki na kuoga vipi!

Ushauri wako ni muhimu sana!

wa kwanza na wa tatu wanafaa kwani tiba zinapatikana.binafsi wa kwanza angekuwa chaguo langu la kwanza
 
Dude!...Are yo out of ya senses?

Unatimiza ule msemo kuwa jambazi hamuamini mtu huhisi kuibiwa na kila mtu hudhani ni sawa na yeye la hasha si kweli kaka jina hilo ni sahihi, mahinya ni wengi na julius ni wengi ndio maana natumia yote kama yalivyo, hii social network inawatenda wanao itenda so ukiona unajificha ficha mauti yatakuumbua!
 
Nina mahusiano na wasichana watatu wenyesifa zifuatazo:-
WA KWANZA
. Mpole, anaweza kazi zote (kitandani na nyumbani), mzuri wa muonekano, busara na heshima ila anakojoa kitandani
WA PILI
.Mapepe, mvivu wa kitandani ila kazi za nyumbani anaweza, mzuri wa sura, ana dharau kwa watu wengine wakiwemo ndugu zangu,msafi ila muongo na anapenda kusifiwa.
WA TATU
.Mcheshi, msafi wa mwili, ana tabia nzuri,ni wa wasitani katika kazi zote, mzuri wa muonekano ila ananuka mudomo na kikwapa hata apige mswaki na kuoga vipi!

Ushauri wako ni muhimu sana!

Chukuwa wa kwanza, halafu wote muokoke mkapate deliverence ya ukojozi. Period!
 
wewe huna weakness yoyote? kama huna endelea kutafuta the perfect one.
 
Waombe wote 0713 atakayekubali oa lol!!!!!
Ahaaa aaahaaa! he he he ! teh te te !!!!!!!!!!!!! Naona unamaanisha niendelee kuongeza idadi nikikuta call waiting nasonga pengine, nikikuta not reachable tena mbele, nikikuta your call rejected nasonga eh?
 
Wakunioa hajazaliwa na Wakumoa hajazaliwa !! bora lete wasfu mwingine !
 
Kaka mkubwa kumbe unatakiwa kuwa na sample space kuchagua wa kuoa?
Kaka mkubwa sio watu wote hufanya hivyo ingawaje wapo baadhi huamini katika hiyo nadharia...

Huwa na wakaka/wadada kadhaa ambao mwanzoni huwa ni marafiki na baadaye huchagua mmoja kutoka hiyo pool ya friends

Halafu hao wote ni wchumba au marafiki?

Huyu katuambia ni wachumba, means kawalipia posa na kuwavisha kishika uchumba...
 
Huyo wa tatu ndio anafaa kuolewa. Suala la kunuka mdomo na kikwapa ni jambo ambalo linarekebishika. Labda iwe umeamua tu kutunga hadith
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom