Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,761
Wewe endelea tu na tabia yako ya kumfanya UTA zuzu ila ipo siku ukweli utajitenga
hahah simfanyi zuzu hata utafiti na mi zaidi ya twins
Last edited by a moderator:
Wewe endelea tu na tabia yako ya kumfanya UTA zuzu ila ipo siku ukweli utajitenga
Aaaahaaa kumbe mapacha hapo nimekuelewa nilijuwa anajitafunia kama ilivyokuwa mimi enzi zileeee hapo nimekuelewa sasa
hhaha ni zaidi ya mapacha bhana afu lini ulijitafunia wewe ustake kunivunjia ndoa
Yani inamaana hata ladha umeanza kuisahau?kweli inabidi nirudi kujikumbushia maana naona umeshasahau matendo makuu niliyokutendea
Mkuu kaichoma roho yangu na pasi ya mkaa!!huyu miss neddy atakuwa shetani tu
aiseeeee unaota eeeh