utafiti
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 12,783
- 7,676
ohooops pole huyu mo huyu 40 yake inakuja l
Umeona eeh, ipo tu siku atalia kama nyau huyu....
ohooops pole huyu mo huyu 40 yake inakuja l
hukuona cha kuquote ila comment yangu?
nakuuliza tena hukuona cha kuchangia mpaka uchangie hiki ??
hujui watu wanaumia ??
Umeona eeh, ipo tu siku atalia kama nyau huyu....
hahhahaha umeona eeeh
Mmmm kweli mahaba niuwe yani baada ya tibwili lote mmeanza kutongongozana na utafiti taaaaabu kweli kweli
Jitahidi tu kunipa moyo na kunisahaulisha maana....
mmm hayahukuona cha kuchangia mpaka uchangie hiki ??
nitajitahidi maana ukiwa mnyonge wewe hata mi nitaumwa lol
Mkuu kuchangumu kama ulikua hujui, miss neddy ni mke wangu wa ndoa...
Oooohh!! Kumbe? Hongera lakini juwa hajatulia kabisa miss neddy huwa anapenda sana kushobokea vidume hata mimi mbona kwisha nini long time tu!
Mkuu nitahitaji kama miaka 80 ili niweze kuprove maneno yako...
Mkuu nitahitaji kama miaka 80 ili niweze kuprove maneno yako...
Basi atakuwa kakuroga kajipange mkuu
http://youtu.be/zT38q3Nwu_Uhahaha miaka mia mojaaaaaaa akajipange hasaa msingi nilioujenga hata greda halibomoi love u so much utafiti
Afadhali umekuja mama watoto wangu