kuchangumu
JF-Expert Member
- Apr 2, 2014
- 724
- 290
Wenger mwanajeshi mstaafu huyo...
Cc Ntuzu
mtaalamu na mzoefu wa kukosa mataji lol sio kauli yangu ni ya mo
mtaalamu na mzoefu wa kukosa mataji lol sio kauli yangu ni ya mo
mtaalamu na mzoefu wa kukosa mataji lol sio kauli yangu ni ya mo
hukuona cha kuchangia mpaka uchangie hiki ??
Umewachokoza watakugombania kama mpira mikono,maana umegonga world trade...mtaalamu na mzoefu wa kukosa mataji lol sio kauli yangu ni ya mo
Utani huu umeanza lini?
hukuona cha kuchangia mpaka uchangie hiki ??
am sorry sweetheart eid mubarak
Dah unagubu wewe kah!ndio nini kumtia tia hasira mwenzio?kwi kwi kwi teh teh teh hahahaha
Walfaidhin darling.... Miss u sana
miss u too eid ulinitoroka nimenuna
Usijali baby nishasahau tayari
that's ma hubby ndo mana nakupenda lol
Hapana, jana nimelalaaaaaa nimesubiri mechi ya arsenal na yaliyotokea ni hayo...