Nani anayeelewa vema sakata la Babu Seya?

B.G TANTAWI

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
495
250
Nani anayeelewa sakata zima la Babu Seya? je ni kweli kuwa baba na watoto wanaweza kuwa na nia moja ya kutenda jambo moja kwa wakati mmoja?

wakati wa kampeni za urais, mgombea wa Urais wa CCM kikwete aliahidi kuwa akishinda kiti hicho atamsamehe, alisema hayo jijini Dar es salaam hadi sasa bado, labda anasubiria muda mwafaka!

lakini kumekuwa na maneno ya chini chini kuwa sakata la Babu seya ni ulipizaji kisasi uliofanywa na bwana mkubwa je ni kweli?

kama ni kweli, juzi wakati wa sherehe za uhuru Rais aligusia kuhusu suala la kulipiza visasi na akawaonya watu dhidi ya tabia hii je yeye vipi?
 
mnyepe

JF-Expert Member
Dec 1, 2008
1,911
1,225

Non sense
 
Rapture Man

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
439

Pole B.G. Tantawi. Umeomba kama kuna mtu anaelewa sakata hilo. Badala ya kujibiwa unarushiwa 'matukano'. Ni kweli maneno yanasikika sana tu na ni ngumu kujua ukweli ni upi. Lakini iko siku ukweli utafahamika maana imeandikwa 'Mt 10:26 ...there is nothing covered, that shall not be revealed; and hid, that shall not be known.'
 
eltontz

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
882
500
Mkuu ni full visasi afu anawaambia wenzanke waache visasi, mbona yeye aliwachingia mbali ambao hawakumpa support 2005?
 
Sizinga

JF-Expert Member
Oct 30, 2007
8,777
2,000
Mengi yamezungumzwa...ila pole kwa kwa majib unayoyapata ilhali wataka kujua ukweli. Mahakani kule watoto walilishwa sumu watoa ushuhuda kwamba walibakwa. Genge za mitaani zinadai Dem wa muheshimiwa alizimika kwa Babu Seya(Hope walikutana manight club huko), Licha ya BS kuambiwa hiyo ni ngoma ya mzee, jamaa aliendelea kula mzigo na kujigamba kwamba kapendwa......

Wengine walienda mbali zaidi wakasema eti alimchukua naniliiii...........mi sijui bhana.
Kikubwa kinachoniuma ni yule mama halafu mumewe kapelekwa kuleeeee kuwa Muhasibu...aiseee....hata wanajeshi wastaafu wanachukia sana hii saga. By Janga Kuu
 
Meela

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,501
2,000
mengi yamezungumzwa...ila pole kwa kwa majib unayoyapata ilhali wataka kujua ukweli. Mahakani kule watoto walilishwa sumu watoa ushuhuda kwamba walibakwa. Genge za mitaani zinadai dem wa muheshimiwa alizimika kwa babu seya(hope walikutana manight club huko), licha ya bs kuambiwa hiyo ni ngoma ya mzee, jamaa aliendelea kula mzigo na kujigamba kwamba kapendwa......

Wengine walienda mbali zaidi wakasema eti alimchukua naniliiii...........mi sijui bhana.
Kikubwa kinachoniuma ni yule mama halafu mumewe kapelekwa kuleeeee kuwa muhasibu...aiseee....hata wanajeshi wastaafu wanachukia sana hii saga. By janga kuu

nonsense
 
lubasazi

Member
Nov 13, 2013
39
0
....wengine wanasema alikuwa anarecord picha za kikubwa na wale watoto,!!!aliziona mkuru kule ufaransa kipinde kile akiwa waziri wa nje,(kama wapo wanokumbuka vzr au waingiaji sana ktk net lazima watakumbuka miaka ya 2000 ilikuwa sana maarufu sana biashara ya picha za watoto ' childphonography' ktk net) alimwambia be.n habari hizo lakini b.en alikataa kuchukua hatua kwa vile hakuna malalamiko yalio pelekwa kwake na hao watoto au wahusika wao wa karibu nao,yaani wao wenyewe wamependa.kwa hiyo mkuru aliposhika dimba hakukubari akaifufua hiyo soo ndo hivyo tena,na yule felista ,a.k.a halima mwenye soo na kapuyanga alikuwa shahidi mzuri,ni hayo niliyoyasikia.
 
cj21125

JF-Expert Member
May 12, 2013
2,141
2,000
Mengi yamezungumzwa...ila pole kwa kwa majib unayoyapata ilhali wataka kujua ukweli. Mahakani kule watoto walilishwa sumu watoa ushuhuda kwamba walibakwa. Genge za mitaani zinadai Dem wa muheshimiwa alizimika kwa Babu Seya(Hope walikutana manight club huko), Licha ya BS kuambiwa hiyo ni ngoma ya mzee, jamaa aliendelea kula mzigo na kujigamba kwamba kapendwa...... Wengine walienda mbali zaidi wakasema eti alimchukua naniliiii...........mi sijui bhana. Kikubwa kinachoniuma ni yule mama halafu mumewe kapelekwa kuleeeee kuwa Muhasibu...aiseee....hata wanajeshi wastaafu wanachukia sana hii saga. By Janga Kuu
Mbona una picha lote halafu unaogopa funguka mkuu kuna w2 wamejitolea kukupa hifadhi nchi yoyote.
 
Kidogo chetu

JF-Expert Member
Nov 27, 2009
1,432
2,000
hapa so jukwaa la kutetea wabakaji nadhani jaji Mihayo wakati wa appeal aliongea kila kitu
wakaenda court of appeal the same
wakaomba mapitio bado yaleyale
ebu tusijaribu kupotosha uhalisia wa tendo hili chafu kwa hoja nyepesi na za kipuuzi
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
71,602
2,000
Hizi habari zinawaumiza sana wale waliokuwa watoto siku hizo ambao walifanyiwa unyama na huu ukoo wa kishenzi.

Tafadhali waacheni hao vijana waponyeshe majeraha yao. Ni vyema watu wakaacha kuchangia hizi nyuzi, jifikirie ingekuwa ni wewe uliyofanyiwa huo ushenzi ungependelea kuyaona mambo haya humu?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom