Nani anayeelewa vema sakata la Babu Seya?

O

Omnibus

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2013
Messages
208
Likes
0
Points
0
O

Omnibus

JF-Expert Member
Joined Sep 6, 2013
208 0 0
hapa so jukwaa la kutetea wabakaji nadhani jaji Mihayo wakati wa appeal aliongea kila kitu
wakaenda court of appeal the same
wakaomba mapitio bado yaleyale
ebu tusijaribu kupotosha uhalisia wa tendo hili chafu kwa hoja nyepesi na za kipuuzi
Mkuki kwa Nguluwe mtamu ila kwa binadamu mchungu,na ukimwona mwenzio ananyolewa wewe tia maji
P/se tuacheni siku za giza zipite za nuru zinakaribia.
 
mhalisi

mhalisi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Messages
1,181
Likes
19
Points
0
mhalisi

mhalisi

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2011
1,181 19 0
Mengi yamezungumzwa...ila pole kwa kwa majib unayoyapata ilhali wataka kujua ukweli. Mahakani kule watoto walilishwa sumu watoa ushuhuda kwamba walibakwa. Genge za mitaani zinadai Dem wa muheshimiwa alizimika kwa Babu Seya(Hope walikutana manight club huko), Licha ya BS kuambiwa hiyo ni ngoma ya mzee, jamaa aliendelea kula mzigo na kujigamba kwamba kapendwa......

Wengine walienda mbali zaidi wakasema eti alimchukua naniliiii...........mi sijui bhana.
Kikubwa kinachoniuma ni yule mama halafu mumewe kapelekwa kuleeeee kuwa Muhasibu...aiseee....hata wanajeshi wastaafu wanachukia sana hii saga. By Janga Kuu
mkuu ungefunguka tena kidogo kuhusu huyo mama ambaye mumewe amepelekwa kuwa mhasibu.
hapa umetuacha baadhi.
 
Sizinga

Sizinga

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2007
Messages
8,242
Likes
867
Points
280
Sizinga

Sizinga

JF-Expert Member
Joined Oct 30, 2007
8,242 867 280
mkuu ungefunguka tena kidogo kuhusu huyo mama ambaye mumewe amepelekwa kuwa mhasibu.
hapa umetuacha baadhi.
Mkuu nazipenda kucha zangu na macho yangu...visije vikang'olewa vyote itakuwa nouma sana!! Kwa ufupi tu alipelekwa ughaibuni-nchi za mashariki ya mbali
 
Sizinga

Sizinga

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2007
Messages
8,242
Likes
867
Points
280
Sizinga

Sizinga

JF-Expert Member
Joined Oct 30, 2007
8,242 867 280
Ushahidi wote uliopo ni kwamba ni kweli hao Nguza na wanawe walifanya huo ufirauni. Sijui sababu yao ya kufanya hivyo ilikuwa nini. Wanaharakati wa haki za watoto na za binadamu walishiriki pia kwenye hiyo kesi, na kuna mafaili ya kutisha sana. Watoto waliofanyiwa hivyo wapo na walitoa ushahidi, ambao kisheria ili kulinda haki za mtoto aliyelawitiwa na kumkinga dhidi ya unyanyapaa, haipaswi kufanywa hadharani na wala majina yao hayatolewi kwenye vyombo vya habari. Mafaili ya Muhimbili walikopimiwa hao watoto na ripoti za madaktari zipo. Yaani hii ilikuwa soo, hawakuwa na jinsi ya kukwepa.

Na huy si wa kwanza. Miaka ya mwisho ya 1980's alitokea fundi mshona nguo akiitwa Ali Maumba, alikuwa akiwafanyia watoto mchezo huohuo, na alilawiti zaidi ya 100, ila wengine wazazi wao waliwazuia wasijitokeze ili kukwepa aibu kwa familia zao. Ile kesi Maumba alihukumiwa kifungo, lakini alipokata rufaa alishinda kutokana na ushahidi "dhaifu" wa madaktari. Na ile kesi ya Maumba hadi leo inatumika kama reference ya kuwakumbusha madaktari umuhimu wa "ushahidi wa kitaaluma" (expert witness) kuandikwa vizuri. Rafiki zangu wanaharakati wamei-cite mara nyingi sana kwenye papers zao.

Hii ya kina Babu Seya, wanasheria walijaribu sana wakakosa pa kutokea. Na hata wakati wa rufaa, haikuwezekana, akaendelea kubaki hatiani.

Hizo habari za kuwasingizia kina nani sijui ni uvumi tu, kungekuwa na ukweli tungeshapata japo chembe ya ushahidi. Hao mnaowataja wakati huo hawakuwa na mamlaka yoyote dhidi ya mahakama, na hata katika kesi hakuna wakili au yeyote aliyeleta ushahidi wa kuwahusisha. Kama ni rushwa, sijui ni rushwa gani watu wangetembeza kila mahali kuanzia kwa watoto wa shule ya msingi, walimu wao, wenyeviti wa serikali za mitaa, askari polisi kwenye posts hadi kwa waendesha mashtaka, wanaharakati wa haki za watoto, mawakili, wafanyakazi wa idara za hospitali (wauguzi, watu wa records, maabara,madaktari, ili ati wote wafoji habari zinazoendana), hakimu mkazi kisutu, majaji wa mahakama kuu, majaji waheshimiwa sana wa mahakama ya rufaa, woote hao utawahonga vipi? Kazi ya ku-organize na ku-stage plot kama hii ni kubwa na haiwezi kuwa siri, lazima ziwepo flaws, hata kama ni fiction unatunga wasomaji wataona tu uongo ulipo!

Kwa hiyo sioni cha kujadili kuhusu Babu Seya na wanawe, alipata haki yake ya fair trial, akawa convicted, na sheria ikachukua mkondo wake. Akatumia pia haki yake ya appeal, nako hatukusikia malalamiko ya unfair trial, akabakia guilty as charged. Basi.
 
M-bongotz

M-bongotz

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2010
Messages
1,734
Likes
44
Points
145
M-bongotz

M-bongotz

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2010
1,734 44 145
Ukweli anaujua Babu Seya na Mwanae
 
M

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Messages
8,215
Likes
5,368
Points
280
M

Molembe

JF-Expert Member
Joined Dec 25, 2012
8,215 5,368 280

umenena Mkuu mimi bado nina imani na mahakama.
 
Sizinga

Sizinga

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2007
Messages
8,242
Likes
867
Points
280
Sizinga

Sizinga

JF-Expert Member
Joined Oct 30, 2007
8,242 867 280
Ukweli anaujua Babu Seya na Mwanae
Ukiangalia ile video ya Seya....ile sehemu anaposema "wale wabaya wetuuuu eeeh...wabaki na aibu"....video inaonesha mkono wa DADA MREMBO ukivalisha "PETE"...ile ndio ngoma ya wakubwa akina MAHITA na wakulu...sasa safari ya "Rot In Jail " ilianzia pale,..!!
 
F

Fenento

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Messages
320
Likes
1
Points
35
F

Fenento

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2010
320 1 35
Hapa sina cha kuchangia ngoja ni sepe zangu
 
B

Bawa mwamba

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2010
Messages
351
Likes
3
Points
0
B

Bawa mwamba

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2010
351 3 0
Ukiangalia ile video ya Seya....ile sehemu anaposema "wale wabaya wetuuuu eeeh...wabaki na aibu"....video inaonesha mkono wa DADA MREMBO ukivalisha "PETE"...ile ndio ngoma ya wakubwa akina MAHITA na wakulu...sasa safari ya "Rot In Jail " ilianzia pale,..!!
Acha uongo wewe!
 
K

K-Boko

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2013
Messages
700
Likes
7
Points
35
K

K-Boko

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2013
700 7 35
Nani anayeelewa sakata zima la Babu Seya? je ni kweli kuwa baba na watoto wanaweza kuwa na nia moja ya kutenda jambo moja kwa wakati mmoja?

wakati wa kampeni za urais, mgombea wa Urais wa CCM kikwete aliahidi kuwa akishinda kiti hicho atamsamehe, alisema hayo jijini Dar es salaam hadi sasa bado, labda anasubiria muda mwafaka!

lakini kumekuwa na maneno ya chini chini kuwa sakata la Babu seya ni ulipizaji kisasi uliofanywa na bwana mkubwa je ni kweli?

kama ni kweli, juzi wakati wa sherehe za uhuru Rais aligusia kuhusu suala la kulipiza visasi na akawaonya watu dhidi ya tabia hii je yeye vipi?
Wahalifu wa kiwango hicho hawafai kabisa kutetewa! Hebu chukulia katika wale watoto waliothibitika kufanyiwa vitendo vile vibaya yumo wa kwako! Inawezekana kabisa wale waliponzwa na tamaa ya utajiri wakadanganywa na waganga wa kienyeji kutenda unyama ule!!
 
Kiba

Kiba

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2012
Messages
456
Likes
4
Points
35
Age
30
Kiba

Kiba

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2012
456 4 35
Kama kweli Jk ameweka familia hii jela kwa makusudi kwa ajili ana cheo naamini laana hii inamfuata nyuma kila kukicha na iko siku atalia na kusaga meno na maccm mengine.
 
Joseph

Joseph

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2007
Messages
3,524
Likes
93
Points
145
Joseph

Joseph

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2007
3,524 93 145
Hivi yule mwalimu aliyekuwa akiwapeleka wale watoto kulawitiwa WALIMWACHIA AISEE!!!Kweli Tanzania yenye neema kila kitu kinawezekana.
 
white girl

white girl

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2013
Messages
1,374
Likes
17
Points
0
Age
25
white girl

white girl

JF-Expert Member
Joined Dec 5, 2013
1,374 17 0
Mi nilitonywa kua ni kweli aliwalawiti wale watoto
Sema bongo kwa kuzusha ni balaaaaaaaaa,ukweli wanaujua wanaujua waooo
 
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2009
Messages
27,671
Likes
2,763
Points
280
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2009
27,671 2,763 280
Rais hawezi kuea aliahidi Kumuachia babu seya kwa sababu sheria inasema kabisa uhujumu uchumi, kubaka (ambayo ndio kosa lake) na ujambazi wa kutumia silaha havihusiki namsamaha wa rais.
 
Deo Corleone

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Messages
14,933
Likes
3,005
Points
280
Deo Corleone

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2011
14,933 3,005 280
Kama unamtetea babu seya hebu nendeni mkasome mwenendo wa ile kesi kule jukwaa la sheria. Ni ndefu lakini nenda kasomeni,kama una mtoto au ndugu ambaye ni rika la wale victims then usilie hata moyoni wewe ni jasiri sana. Nenda kasome halafu utaamua.
 
kongobelo

kongobelo

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2012
Messages
226
Likes
110
Points
60
kongobelo

kongobelo

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2012
226 110 60
Rais hawezi kuea aliahidi Kumuachia babu seya kwa sababu sheria inasema kabisa uhujumu uchumi, kubaka (ambayo ndio kosa lake) na ujambazi wa kutumia silaha havihusiki namsamaha wa rais.
Swadakta!
 
Sizinga

Sizinga

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2007
Messages
8,242
Likes
867
Points
280
Sizinga

Sizinga

JF-Expert Member
Joined Oct 30, 2007
8,242 867 280
Kama kweli Jk ameweka familia hii jela kwa makusudi kwa ajili ana cheo naamini laana hii inamfuata nyuma kila kukicha na iko siku atalia na kusaga meno na maccm mengine.
Inasemekana tu kwamba kahusika ukweli wanaujua wenyewe...kwani hata kama ile video waliirekodi(Nguvu akiwabaka watoto) kwanini mpaka leo ukiondoa wakubwa hamna mtu aliwahi kuithibitisha kwamba ipo ndani ya dunia hii?

Siku mtu akijaza hilo gap nafikiri atakula life ban hapa!
Mkuu hilo gap hamna mtu mwenye ujasiri wa kulijaza....manake ni utata mtupu!!
Hivi yule mwalimu aliyekuwa akiwapeleka wale watoto kulawitiwa WALIMWACHIA AISEE!!!Kweli Tanzania yenye neema kila kitu kinawezekana.
Hata ndipo fumbo kuu la hii kesi lilipolala!! Mwl ambaye ni mtu muhimu katika hii kesi alikuwa anawapeleka watoto kwa Nguva eti wakalawitiwe kaachiwa?? Hivi iinaingia akilini? Wakati yeye anahusika mojakwamoja!! That's only in Tanzania.
There is usually no space between the two
Hahahaaaa....sawa bhana.
Rais hawezi kuea aliahidi Kumuachia babu seya kwa sababu sheria inasema kabisa uhujumu uchumi, kubaka (ambayo ndio kosa lake) na ujambazi wa kutumia silaha havihusiki namsamaha wa rais.
Kwa Bongo , sheria inaweza kupindishwa the way wanavyotaka wakubwa!! We huoni akina Kapuya wapo JUU ya Sheria? Wanadunda tu na watoto wao wauza unga.
Kama unamtetea babu seya hebu nendeni mkasome mwenendo wa ile kesi kule jukwaa la sheria. Ni ndefu lakini nenda kasomeni,kama una mtoto au ndugu ambaye ni rika la wale victims then usilie hata moyoni wewe ni jasiri sana. Nenda kasome halafu utaamua.
Mwenendo wa kesi umepangwa na wakubwa...ni sawa na ww ubambikiwe kesi halafu unasema nendeni mkaisome kwa majaji mahakani mtajua...wakati ukweli we ndio umebambikiwa...inabidi third part ndio ije iseme ukweli..na ndio mana tupo hapa JF kujaribu kutumbua!! Hope You get it.
 
Forum statistics

Threads 1,262,137
Members 485,487
Posts 30,114,898