Nani anayeelewa vema sakata la Babu Seya?

N

Ndianka

Member
Joined
Jul 26, 2012
Messages
57
Likes
0
Points
0
Age
26
N

Ndianka

Member
Joined Jul 26, 2012
57 0 0
Mengi yamezungumzwa...ila pole kwa kwa majib unayoyapata ilhali wataka kujua ukweli. Mahakani kule watoto walilishwa sumu watoa ushuhuda kwamba walibakwa. Genge za mitaani zinadai Dem wa muheshimiwa alizimika kwa Babu Seya(Hope walikutana manight club huko), Licha ya BS kuambiwa hiyo ni ngoma ya mzee, jamaa aliendelea kula mzigo na kujigamba kwamba kapendwa......

Wengine walienda mbali zaidi wakasema eti alimchukua naniliiii...........mi sijui bhana.
Kikubwa kinachoniuma ni yule mama halafu mumewe kapelekwa kuleeeee kuwa Muhasibu...aiseee....hata wanajeshi wastaafu wanachukia sana hii saga. By Janga Kuu
nasikia mbaya zaidi alimtungia na wimbo 1 hivi! Unaimbaga hivi s....
 
I

ilisha juniour

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Messages
683
Likes
41
Points
45
I

ilisha juniour

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2012
683 41 45
Piga ua garagaza,zimishia sigara kwenye kabang,Tanzania hasa kwenye jesh la polisi maswala ya kubambikana kesi yapo,mara nying hapa wanaobambikwa kama ubavu huna unaozea jela,mimi ni shahid wa hli kwakuwa kaka yangu ninayefatana nae yalimkuta haya!,tukirud kwenye mada mtagonganisha sana vichwa ila ukweli anao prezo,pamoja na kina seya!,hapa yeyote anayechangia me naona anatumia evidence za uvumi na sio facts,mfano wanaosema kuna video hatujawah kuiona,wenye kusema walipokonyana demu nalo hili ukweli wake hatuwez ujua bali wao ndo wanafahamu
 
E

Elinewinga

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2011
Messages
632
Likes
83
Points
45
Age
44
E

Elinewinga

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2011
632 83 45
ukweli utajulikana siku moja tuu.
 
Phenomenon Lady

Phenomenon Lady

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Messages
409
Likes
35
Points
45
Phenomenon Lady

Phenomenon Lady

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2013
409 35 45
Mkuu nazipenda kucha zangu na macho yangu...visije vikang'olewa vyote itakuwa nouma sana!! Kwa ufupi tu alipelekwa ughaibuni-nchi za mashariki ya mbali
Tena vitang'olewa bila ganzi mkuu
 
T

Truth guy.

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2013
Messages
401
Likes
44
Points
0
Age
40
T

Truth guy.

JF-Expert Member
Joined Oct 30, 2013
401 44 0
jamani babu seya alionewa sana,tangu nijiunge humu jf nimebaini kuna mamburura mengi yako ccm huwa yanaharibu thread za muhimu,mtu mwenye akili timamu anatoa wapi ujasiri wa kulawiti watoto yeye na wanae wote wawili? asiwepo hata mmoja wa kusema hapana,ina maana wote ni mataahira? baba na watoto wako ulawiti,wote wafanye ujinga huo,inaingiaje akilini? kama ingekuwa babu seya peke yake,we would have said, probably he did it,kesi huwa zinasukwa,kuanzia mwendesha mashtaka,hadi jaji,kwa nini vyombo vya habari vizuiwe kuripoti mwenendo wa kesi?sote tunajua zombe aliua,lakini mbona yuko huru? kapuya alibaka,nani wa kumgusa na yeye ndo serikali? ni wajinga tu ndo wanaamini babu seya alibebana na wanawe kubaka,iko siku tutasema yote humu jf,mi siogopi kung'olewa meno,na kucha,hata kutuua watumalize tu wote,one day the truth will be exposed publicly.
 
H

Howt Lady

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2013
Messages
1,483
Likes
22
Points
135
Age
32
H

Howt Lady

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2013
1,483 22 135

U are real a great thinker buddy!!!!!
 
M

Mwagitho

Senior Member
Joined
Oct 11, 2013
Messages
111
Likes
0
Points
0
M

Mwagitho

Senior Member
Joined Oct 11, 2013
111 0 0
kila kitu unachokifanya duniani jicho la mungu huwa linaona,uwe mfalme uwe mtumwa uwe tajiri uwe masikini,isitoshe kuna makosa mengine mungu huyalipa hapahapa duniani. ukweli anao mwenyezi mungu ambaye yeye huukumu kwa haki
 
Chisamba

Chisamba

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2013
Messages
865
Likes
202
Points
60
Chisamba

Chisamba

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2013
865 202 60
rumours kuhusu hii ishu nmeisikia kitambo sana ila ndo hvo sielewi lolote mimi
 
Peter jaluo

Peter jaluo

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2013
Messages
1,755
Likes
14
Points
135
Peter jaluo

Peter jaluo

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2013
1,755 14 135
mzee alikuwa anatupa burdani wamempoteza babu kwa visasi vya ajabu.seya vaa vzr 2toke wote.dah inauma xana
 
E

Emmanuel Njile

Senior Member
Joined
Jul 31, 2013
Messages
130
Likes
0
Points
0
Age
29
E

Emmanuel Njile

Senior Member
Joined Jul 31, 2013
130 0 0
My God!!!!!Bless babu seya and hisi son amee
 
swagazetu

swagazetu

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Messages
3,986
Likes
343
Points
180
swagazetu

swagazetu

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2013
3,986 343 180
watu wanajibu kwa jazba dhidi ya mleta mada,kuna mahali amewagusa wengine?kwani ukijibu simple tu kwamba 'mkuu wa kaya'kuna shida gani!
 
Forum statistics

Threads 1,272,857
Members 490,188
Posts 30,462,828