kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,499
- 5,153
Habar zenu humu. Nimeona Leo niulizee hili swali tunaambiwa binadamu wote ni udongo kwa sababu tumeumbwa kwa udongo. Lakin katika hali ya kawaida sisi sote tunazaliwa na hakuna ambaye tumeona kaumbwa kwa udongo. Je nani anaweza kutupa uthibitisho wa kuwa sisi ni udongo
Swali la pili naombeni nafsi ni nin na kaz zake ni zipi pia naomba kupewa mahusiano ya karibu katika ya moyo na nafsi . kipi kina umuhimu zaid na kina nguvu kuliko kingine katika maisha ya kila siku ya binadamu
Asanten