baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 11,480
- 12,093
Polepole alikua anasema wahuni ndo kosa lake Je ni kweli wahuni wapo walikua wanachukia anayoyasema?
Kwa hiyo maneno ya Polepole yalikua yana Ukweli sio propaganda za kisiasa. Kama ni kweli polepole katekwa basi tunakubaliana Polepole yote aliyokua anasema ni kweli.
TANZANIA tuna safari ndefu sana Polepole pamoja kusema ukweli wote vyombo vya dola ndo vilitakiwa kufanyia uchunguzi kuhusu masuala aliyokua anasema Polepole lakini vyomba dola kimya viapo vyenu vyombo vya dola kwa ajili ya nchi sio kikundi cha watu flani nimesikitika kumbe hatuna Vyombo vya dola tuna vyombo kwa ajili watu flani inasikitisha sana. POLEPOLE kosa lake ni kusema jamani kuna wezi wa rasilmali za nchi mtu anayewaonyesha mwizi ndo anakua mtu mbaya hii imeishangaza sana baada ya kuitwa kupewa ongera kwa kua mzalendo kwa nchi yake ndo anageuka kua adui hivi viapo kwenye vyombo vya Usalama vijitafakali