Nani anaweza kusema kosa la Polepole?

Nani anaweza kusema kosa la Polepole?

Mtu anakwambia unaibiwa ndo anageuka kua mbaya dunia hii Tumerogwa
Role model wa siku hizi ni mafisadi, majambazi, wauuaji na machawa wao.

Ukisema hapa mnakosea, tujisahihishe wewe ndio unaonekana muhuni, unastahili kutekwa, kuteswa na kuuwawa.
 
Kabla hatujatafuta kosa (yapo ni mengi tu) ni vema tukatumia mipangilio / hatua za Kisheria tulizojiwekea za watenda makosa...;

Kunyakuana kinyemela bila due diligence na mpangilio ni makosa zaidi katika Taifa linalojibainisha kufuata Haki na Sheria...
 
Kiini cha yote ni kuwa Polepole hakuridhishwa na namna Samia alivyoteuliwa kuwa mgombea Uraisi.
Alitaka Samia akae pembeni kwasababu alishatumikia cheo cha juu kwa miaka 10. Na destur ya CCM ni kuachia ngazi ukishatumikia miaka kumi kwenye uraisi. Uwazir mkuu. Au Makam wa rais.
(Refer na Majaliwa kukaa pemben).

Kwakuwa Kikwete ndio alipanga huu mpango wa Samia kuendelea. Polepole Akaanza kumuattack Kikwete na kutoa namna CCM mtandao inavyofanya ndan ya nchi hii.

Tuhuma nying zilikuwa ni wana Mtandao.
Hizi nyingne alizokuwa anasema sema ni kwakuwa alitaka asikike zaid. Ndio maana akawa anagusia ya Lissu . Na tuhuma za kuuliwa magufuli nk nk.

Mm nadhan alikuwa anajua ni nani alikuwa ameandaliwa baada ya Magufuli kuacha Uraisi 2025..
Na huyo aliyeahidiwa alikuwa ameshamuahidi Polepole nyadhifa kadha wa kadha.
Sasa alivyoona ndoto zimekufa ndio akacharuka namna hii.
Magufuli hakupanga kuachia nchi alishaanza hadi kufuga Ng'ombe pale ikulu Dodoma. Alikuwa anafuata nyayo za Kagame.
 
Back
Top Bottom