Nani anawadanganya Wakenya kuwa wana Ubavu wa Kushindana 'Kijeshi' na Tanzania inayoogopeka 'Kijeshi' na 'Kiujasusi' Ukanda wa Maziwa Makuu?

Usiandike tu eti kwa sababu unajua kusoma na kuandika....
 
TPDF ilikuwa zamani enzi za ukombozi kusini mwa Afrika.Unaongelea jeshi lililofurushwa juzi kati hapa na Waasi wa M23 mpaka kupokonywa silaha na kusindikizwa na vikosi vya jeshi la Rwanda?!!!!
 
Kwahyo jeshi lako watu hawaingii Kwa rushwa, au ndio nyani halioni kundule
 
Wakenya wanachekesha sana. Wewe wanajeshi wenyewe wanavalishwa kama sungu sungu alaf midomoni tu wanaonekana ni wanywa gongo wakubwa, ndio wajifananishe na jeshi imara la Tanzania 😂😂😂
 

Attachments

  • Screenshot_20250521_082441_Chrome.jpg
    483.3 KB · Views: 14
Labda inaongoza kijeshi kupasua matofali.Hii post yako M23 wakiiona watakushangaa.
 
Dunia ya Leo inatumia zaid technology kuliko nguvu,saivi nchi yenye technology kubwa ndio Inakuwa stable ktk Kila sector Hilo halina upinzani yaan kiusalama, kiuchumi n.k

Swali la kujiuliza ni je Tz na Kenya ipi imepiga hatua ktk suala la technology.
Mfano kumiliki drone, ndege zisizo na ruban, stable rada, hapa lazima budget yko iwe ya kueleweka
 
Labda kivita, ila mambo mengine yoooote wametupita. Angalia GDP yao ulinganishe na sisi. Walituacha mbali enzi zile za mwalimu na ujamaa wetu. Ukisema umasikini wa Kenya, hata America kuna masikini.
 
Hata huku ugonjwa huo upo! Kama wewe siyo mtoto au ndugu wa mjeda hutoboi.
 
Umesema vyema kabisa Mkuu wangu ila tegemea Mipumbavu hapa na Mijitu isiyo Mizalendo kwa Tanzania kukupinga.
 
Mleta mada huwa unatumia matako badala ya kichwa kufikili. Uimara wa jeshi hupimwa kwa mizania ipi? Je wingi wa wanajeshi ndio uimara? Teknolojia ishatoka huko,ingekuwa wingi wa jeshi basi ukraine na USSR vita ingeisha siku mbili,parestina na israel vilevile. wenzenu wanawekeza kununua silaha za kisasa nyie mnawekeza kutisha raia. Waguseni wakenya muone
 
Wewe ulishafika kambi yoyote ya jeshi au unajiongelea tu mambo usiyoyajua.Au ukisikia bajeti unataka uambiwe kila kitu,na je vifaa ambavyo vipo vinayeyuka ili wawe wananunua kila mwaka?.Kama unataka ujue wana vifaa vya kisasa au hawana nenda kwenye hayo makambi utaelezwa vizuri.
 
USSR gani!?
 
Tunadanganyana tu out of uoga, unafiki na kujipa moyo. Ukiyasema mara ooohh "taarifa za kijeshi
ni siri" sasa sijui ninyi mnajuaje kama tuna huo ubavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…