Wadau naomba wapi nitapata vitabu vya hadithi za zamani kama za kina Bulicheka, Panga la shaba, Abunuwasi, Mandawa na Manenge.
==========
==========
Vitabu vya kiswahili vya enzi zetu na hadithi zake. Kama vile SIKUELEWE, KIBANGA AMPIGA MKOLONI, TOLA ACHA KULA GIZANI n.k nawewe unaweza kutupia hadithi zilizokugusa sana primary enzi hizo.