Nahitaji vitabu vya zamani

Jibaba Bonge

JF-Expert Member
May 6, 2008
1,246
402
Wakuu, nahitaji vitabu vya kiswahili na English vya shule za msingi darasa la 3 mpaka la saba vilivyokuwa vinatumika miaka ya 1980. Kwenye kujua vinapoweza kupatikana kwa kununua anijulishe tafadhali. ni vile vyenye hadithi hizi:
Kibanga ampiga mkoloni
Sizitaki mbichi hizi
twende tukawinde
Siku ya gulio
Mwenge
Floods in Ikwiriri Village
The Hibiscus flower
The three brothers (Clever Head, Good Heart & Strong Arm)
The Veterinary Officer
n.k
 
Ukivipata nistue
 
haditith zingne hizo

Jogoo wa ajabu
Mzee tola alia gizani
Chopeko na mnofu
Dagaa ni chakula bora
Muwa uliozamisha meli
Zipi nzito kilo 10 za pamba au mawe?
Mamba na kima
Sadiki na chitemo
Mfalme na la la laa haha
Harakati za pimbi
Komredi kipepe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom