Nani anashinda vita Ukraine?

Nani anashinda vita Ukraine?

Kwanza kabisa tutazame ni nini source ya vita?

Hii vita sio ya bahati mbaya ila ni vita ambayo ilitengenezwa, hasa na WESTERNS. Kwa upande wa pili, Russia tayari alijua ipo siku atakuja kupambana na NATO indirect way or direct way, kwahiyo na yeye alijipanga mno juu ya kupambana.

Miaka ya nyuma kuanzia 2012 au 14, UKRAINE alianza saidia misaada ya silaha na mafunzo kutoka mataifa ya Ulaya. Hii ilikuwa ni indicator ya kwanza kwa Russia kutambua kuwa Ukraine anajiandaa kupambana nae. Na yeye hakuwa na budi kujiandaa.

Sasa ni nini kilifanya Russia ajikite ktk hii vita, KGB ilifeli sehemu moja tu kwa Putin. Kumuaminisha Rais Putin yeye ni mfalme anayeogopwa zaidi hasa ktk misimamo mikali na kijeshi ulimwenguni. HAPA NDIPO WALIPOANZA KUFELI.

Kwanini alifeli hapo? Putin akatengenezewa mazingira aseme kuwa hii operation yoyote atakayeingilia atapotezwa kabisa. Alitegemea watu wangeshtushwa mno na hii kauli, na ni kweli walishtushwa na kuogopwa ila kwa bahati mbaya hii kauli ilikuwa ni upuuzi tu kwa westerns. Nia yao Westerns ni kumtaka Russia aingie vitani, na ni kweli kaingia, walimfanyaje ili aingie?

Putin alipoitamani CRIMEA, watu walicheza na akili yake, wakamruhusu aimege na kuichukua ili ajiome mwenye power nq hakuna wa kumgusa ili sasa aje aitamani Ukraine yote na asiwe mtu wa kumuingilia kama Crimea. Huu ni mtego ambao CIA walitaka Putin ajiaminishe zaidi. Kwa hapa Tz ni kama vile Mh Mpango alipopigwa na ule ugonjwa mpaka akanusurika kufa, watu wa kazi hawakutaka mpango afe, walijua Mpango ndo operator mkuu wa pesa wa jiwe, so ukigusa afya yake umegusa afya jiwe. Walijua kabisa mpango lazima apate support ya kiafya kutkka kwa jiwe, ni kweli kabisa, Dokta wa Jiwe akamtibu mpango na akapona, watu walitafuta TRUST ya Dokta kwa Jiwe kabla hawajamdondosha jiwe. Jiwe alipoanza kuumwa alimuamini mno Dokta wake sababu ndo mtu alimtibu mpango, hakuyaona mahesabu haya marefu. Daima watu mashujaa huwa wanaangushwa na mambo madogo mno, hata ktk vitabu vitakatifu kumbuka kuanzia Adam, Samson n.k

Putin alijiamini hivyo baada ya kumega Crimea, akajiona yeye ni untouchable na ulimwengu mzima hakuna mbabe zaidi yake, hakujua kuwa wenzie waliruhusu vile for a reason

Naendlea ...
Pumba tupu
 
Warusi na waukraine wa Buza wasioweza hata kutatua changamoto ya maji mtaani kwao watakuja kutoa intelligence report.
 
URUSI kachapika sana kiukweli
Tunaona MOSCOW na majiji kadha hahakaliki huko tumeona gharama zamaisha zinapanda huko
CRIMEA imerejelea KIEV pia yale maeneo yampakani ya RUSSIA yaliobebwa na kuunganishwa na UKRAINE kiukweli RUSSIA kachapika haswaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwelikweli inabidi haya mashoga tuyafariji kama hivi
 
We kwani upo dunia gani.wanajeshi wa ngazi ya juu kutoka hayo mataifa walishakamatwa kwenye uwanja wa vita Ukraine
Kweli kazi ipo. Enhe what happened then, Urusi akazishambulia nchi za NATO? Pale jirani kuna Polland, Finland, Estonia, Sweden wote ni wanachama wa NATO, je Urusi alishawahi kurusha kombora likadondokea huko kwenye wanajeshi wa NATO?
 
Kuna tofauti Kati ya support na fight muwe mnaelewa mfano Belarus anasupport Russia Ila hafight
Kuna Msitari mwembamba sana kati ya hao watu wawili kias kwamba Tofauti yao inakosa maana , ndo maana mtu anaetunza Mali za wizi nae hua tuna mchukulia kama mwizi tu, na katika adhabu hua lazima ahusike pia.
 
Russua ameshashinda kitambo sana kwa kumega maeneo ya kimkakati. Uzi ufungwe
Russia ishinde wapi ,mpaka sasa pamoja.na kumdharau Zelensky kwa.kweli namsifu na Ukraine itashinda nawambia .Rusia hawakuamini vita itachukua muda mrefu hivi .Ukiona wewe ulijiandaa sana kupigana na adui na ukachukua muda mrefu ujue utaishiwa pumzi tu
 
Kwanza kabisa tutazame ni nini source ya vita?

Hii vita sio ya bahati mbaya ila ni vita ambayo ilitengenezwa, hasa na WESTERNS. Kwa upande wa pili, Russia tayari alijua ipo siku atakuja kupambana na NATO indirect way or direct way, kwahiyo na yeye alijipanga mno juu ya kupambana.

Miaka ya nyuma kuanzia 2012 au 14, UKRAINE alianza saidia misaada ya silaha na mafunzo kutoka mataifa ya Ulaya. Hii ilikuwa ni indicator ya kwanza kwa Russia kutambua kuwa Ukraine anajiandaa kupambana nae. Na yeye hakuwa na budi kujiandaa.

Sasa ni nini kilifanya Russia ajikite ktk hii vita, KGB ilifeli sehemu moja tu kwa Putin. Kumuaminisha Rais Putin yeye ni mfalme anayeogopwa zaidi hasa ktk misimamo mikali na kijeshi ulimwenguni. HAPA NDIPO WALIPOANZA KUFELI.

Kwanini alifeli hapo? Putin akatengenezewa mazingira aseme kuwa hii operation yoyote atakayeingilia atapotezwa kabisa. Alitegemea watu wangeshtushwa mno na hii kauli, na ni kweli walishtushwa na kuogopwa ila kwa bahati mbaya hii kauli ilikuwa ni upuuzi tu kwa westerns. Nia yao Westerns ni kumtaka Russia aingie vitani, na ni kweli kaingia, walimfanyaje ili aingie?

Putin alipoitamani CRIMEA, watu walicheza na akili yake, wakamruhusu aimege na kuichukua ili ajiome mwenye power nq hakuna wa kumgusa ili sasa aje aitamani Ukraine yote na asiwe mtu wa kumuingilia kama Crimea. Huu ni mtego ambao CIA walitaka Putin ajiaminishe zaidi. Kwa hapa Tz ni kama vile Mh Mpango alipopigwa na ule ugonjwa mpaka akanusurika kufa, watu wa kazi hawakutaka mpango afe, walijua Mpango ndo operator mkuu wa pesa wa jiwe, so ukigusa afya yake umegusa afya jiwe. Walijua kabisa mpango lazima apate support ya kiafya kutkka kwa jiwe, ni kweli kabisa, Dokta wa Jiwe akamtibu mpango na akapona, watu walitafuta TRUST ya Dokta kwa Jiwe kabla hawajamdondosha jiwe. Jiwe alipoanza kuumwa alimuamini mno Dokta wake sababu ndo mtu alimtibu mpango, hakuyaona mahesabu haya marefu. Daima watu mashujaa huwa wanaangushwa na mambo madogo mno, hata ktk vitabu vitakatifu kumbuka kuanzia Adam, Samson n.k

Putin alijiamini hivyo baada ya kumega Crimea, akajiona yeye ni untouchable na ulimwengu mzima hakuna mbabe zaidi yake, hakujua kuwa wenzie waliruhusu vile for a reason

Naendlea ...
"ni kama vile Mh Mpango alipopigwa na ule ugonjwa mpaka akanusurika kufa, watu wa kazi hawakutaka mpango afe, walijua Mpango ndo operator mkuu wa pesa wa jiwe, so ukigusa afya yake umegusa afya jiwe. Walijua kabisa mpango lazima apate support ya kiafya kutkka kwa jiwe, ni kweli kabisa, Dokta wa Jiwe akamtibu mpango na akapona, watu walitafuta TRUST ya Dokta kwa Jiwe kabla hawajamdondosha jiwe. Jiwe alipoanza kuumwa alimuamini mno Dokta wake sababu ndo mtu alimtibu mpango, hakuyaona mahesabu haya marefu"

Bila shaka wewe ni senior hapo TISS mkuu mpaka umeyajua haya
Basi naomba nikwambie mkuu kuna kijana wako wa TISS ananitafuta na wanajeshi wanataka wanipe kichapo kisa wivu wa mapenzi

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Kwanza kabisa tutazame ni nini source ya vita?

Hii vita sio ya bahati mbaya ila ni vita ambayo ilitengenezwa, hasa na WESTERNS. Kwa upande wa pili, Russia tayari alijua ipo siku atakuja kupambana na NATO indirect way or direct way, kwahiyo na yeye alijipanga mno juu ya kupambana.

Miaka ya nyuma kuanzia 2012 au 14, UKRAINE alianza saidia misaada ya silaha na mafunzo kutoka mataifa ya Ulaya. Hii ilikuwa ni indicator ya kwanza kwa Russia kutambua kuwa Ukraine anajiandaa kupambana nae. Na yeye hakuwa na budi kujiandaa.

Sasa ni nini kilifanya Russia ajikite ktk hii vita, KGB ilifeli sehemu moja tu kwa Putin. Kumuaminisha Rais Putin yeye ni mfalme anayeogopwa zaidi hasa ktk misimamo mikali na kijeshi ulimwenguni. HAPA NDIPO WALIPOANZA KUFELI.

Kwanini alifeli hapo? Putin akatengenezewa mazingira aseme kuwa hii operation yoyote atakayeingilia atapotezwa kabisa. Alitegemea watu wangeshtushwa mno na hii kauli, na ni kweli walishtushwa na kuogopwa ila kwa bahati mbaya hii kauli ilikuwa ni upuuzi tu kwa westerns. Nia yao Westerns ni kumtaka Russia aingie vitani, na ni kweli kaingia, walimfanyaje ili aingie?

Putin alipoitamani CRIMEA, watu walicheza na akili yake, wakamruhusu aimege na kuichukua ili ajiome mwenye power nq hakuna wa kumgusa ili sasa aje aitamani Ukraine yote na asiwe mtu wa kumuingilia kama Crimea. Huu ni mtego ambao CIA walitaka Putin ajiaminishe zaidi. Kwa hapa Tz ni kama vile Mh Mpango alipopigwa na ule ugonjwa mpaka akanusurika kufa, watu wa kazi hawakutaka mpango afe, walijua Mpango ndo operator mkuu wa pesa wa jiwe, so ukigusa afya yake umegusa afya jiwe. Walijua kabisa mpango lazima apate support ya kiafya kutkka kwa jiwe, ni kweli kabisa, Dokta wa Jiwe akamtibu mpango na akapona, watu walitafuta TRUST ya Dokta kwa Jiwe kabla hawajamdondosha jiwe. Jiwe alipoanza kuumwa alimuamini mno Dokta wake sababu ndo mtu alimtibu mpango, hakuyaona mahesabu haya marefu. Daima watu mashujaa huwa wanaangushwa na mambo madogo mno, hata ktk vitabu vitakatifu kumbuka kuanzia Adam, Samson n.k

Putin alijiamini hivyo baada ya kumega Crimea, akajiona yeye ni untouchable na ulimwengu mzima hakuna mbabe zaidi yake, hakujua kuwa wenzie waliruhusu vile for a reason

Naendlea ...
Kunywa soda nitalipa.Nipo hapa kijiweni.Umeshusha point sana
 
Sasa matokeo yake ni nini? Putin haamini kuwa mpaka sasa Operation yake imefika hapo ilipofika. Aliamini atapambana na Ukraine pekee, aliamini hakuna silaha zitakazoingizwa Ukraine, na ndio maana akatoa ule mkwara mzito.

Katika watu ambao kwa sasa wanachukia haya mapigano, basi wa kwanza ni putin, kwanini? Ndani ya Russia kuna vijana wengi mno waliozaliwa miaka ya 80 na 90 na 20, hawajui uchungu wa nchi, HAWAELEWI UNAPOWAAMBIA TULINDE NCHI DHIDI YA NATO.

Hiki ndicho kikapelekea Putin kuzima kabisa vyombo vya habari nchini Russia kureport operation hii. Sanctionz alizopigwa Russia hakuna raia anayeweza vumilia yale maisha isipokuwa viongozi pekee wao wana kila kitu. Pia tuelewe Russia ni kama CCM ila wao anayetawala ni mmoja, lakini ni nchi ambayo wale matop ndio wanaofurahia mema ya nchi, ombwe kubwa la raia linapinga mno genge hili, na hili ndio genge ambalo putin analilea sababu limetoka nae mbali ktk kupambania nchi, wengi wao ni wazee sana, na wale wanaostafu wanaachia familia zao, huu ni mpasuko mkubwa ndani ya russia.

Endapo vyombo vya habari vingekuwa open russia, tungesikia na kuona mengi mengi sana. Leo tunasema mengi magumu wanayopitia Ulaya sababu wao kwao vyombo vya habari vipo huru, vikifunguliwa Russia kila mmoja atatenga muda wa kuiombea Russia, moto unaofuka Russia kuna siku tutaanza kuona moshi wake, na utakuja kutoka mpaka nje huo moto.

Mpaka sasa Russia ameshatumia Resources nyingi katika hii operation, wakati wenzake ndo kwanza wanaipigia hesabu operation kutembea zaidi ya miaka mitano. Kipindi putin ataanza kuchoka na majeshi yake, ndipo wenzake ndo kwanza watakuwa wanaanza mwendo. Na hii Russia anafahamu vyema, ndo maana kwa sasa kasi ya mashambulizi amepunguza ili pia kupima upepo majeshi ya ukraine wamejipanga vipi au wanataka wafanye nini? TUSISHANGAE KIPINDI HIKI TUKASIKIA UKRAINE AMEKOMBOA SEHEMU YOYOTE ILE, SHIKA SANA HILI NILILOSEMA.

Naendlea ...
Yaani umeandika yaliyokuwa moyoni mwangu.Mkuu pata kinywaji bili yangu.
 
Russia ishinde wapi ,mpaka sasa pamoja.na kumdharau Zelensky kwa.kweli namsifu na Ukraine itashinda nawambia .Rusia hawakuamini vita itachukua muda mrefu hivi .Ukiona wewe ulijiandaa sana kupigana na adui na ukachukua muda mrefu ujue utaishiwa pumzi tu
Sasa kama wanataka vita iishe si wangeangusha atomic hapo Kiev
 
Back
Top Bottom