Nani anashinda vita Ukraine?

Nani anashinda vita Ukraine?

Hivi ww unajua chanzo cha hivi vita,au unakurupuka Tu!
SEMA. CHANZO
Hivi ww unajua chanzo cha hivi vita,au unakurupuka Tu!
SEMA CHANZI CHAKE NI KIPI ? KUVAMIA NCHI YA WATU WALOKUWA WANA ISHI MAISHA YAO HATA SILAHA HAWANA , WATU KAMA WEWE WANA AMKA ASUBUI WANAENDA KAZINI JIONI WANA PITA BAR KUNYWA BIA MBILI TATU THEN WANARUDI MAKWAO......
 
Ngoja nichimbe kidogo na mimi kabla watu wa Facebook na Baikoko hawajaongezeka.
ok
ni hivi

1. Urusi imejijenga kiuchumi japo sio tishio huko duniani lakini uchumi wake ameuwekeza zaidi katika maswala ya kijeshi.

2. Kijeshi pia ipo vizuri huku akimkimbiza vizuri tu Mmarekani kwa ubunifu wa technologia za kibabe

3. maswala ya intelijensia pia kwani majasusi wa russia ndio walio sambaza formula za kutengeneza Atomic bombs zikafika russia na nchi zingine pamoja na mafanikio lukuki

Nikijikita tu katika uvamizi wa taifa la UKRAINE.

Urusi baada ya kuitwaa Krimea 2014 nilitegemea wangefanya ujasusi wa kutosha na kupiga gharama yakinifu kuliko kuingia kichwa kichwa na kupata athari zisizo tarajiwa ambazo ni mbaya

haikufanya intelijensia au ilifanya kwa uchache
matokeo yake sasa.

1. Mageneral wake wengi wakafia vitani

2. Vifaru vya kijeshi TANKS : zaidi ya 1500 kuangamizwa kabisa (irriperable)
ambapo thamani ya kifaru kimoja cha urusi aina ya T-90AM kinagharimu dola milion 4.27 sawa na bilion 9 tsh zaid ya vifaru 1500 kuangamizwa hio ni zaid ya dola 6000M zaid ya trilion 12 TSH.

3. Ndege za kivita Aircrafts 200
hapa tunaongelea ndege aina ya Sukhoi Su-35 flanker E ndege moja ya aina hii inagharimu dola milion 85 sawa na zaidi ya Tsh. 197+Bilion jumla ya hasara ya ndege hizi ni zaidi ya dola bilion 17 (TSH 40+ trilion)

3. Hasara ya Armoed vehicle 2500+ ,
troops 20000+ na helcopta Tusizipigie hesabu

4. Hasara ya wanajesh zaid ya 23000+ japo hivi vifo sio big ishu kwa russia maana urusi hua haithamin sana vifo vya wanajeshi nafkiri historia ya vita wanavyo pigana urusi mnaijua hasa kwenye swala la kupoteza askari wengi tangu WW2. na mara nyingi rusia wanashinda vita kwa wingi wa Askari. tuachane na tathmin za vifo hivi kwanza nikiweka wengi mtasema ni propaganda.
ila kwa faida tu ujue theluthi mbili ya jeshi la ardhini la russia lipo Ukraine na vita vinavyo endelea hakuna shabaha za kijeshi zinazo lengwa kwa sasa so ni mwendawazimu tu anayejua kua PUTIN atashinda hii vita.

5. Gharama za uendeshaji wa vita mishahara ya wafanya kazi penshen za wanao kufa vitani kwa familia Nk

6. Vikwazo na mali zikizokua freezed na zilizo taifishwa ni matrilion ya madolari

7. Kupoteza ushawishi wa kikanda na soko la silaha na bidhaa zingine kwa washirika wake tu kama india ni ma matrilion ya madolari pia.

Kwanza hata Ardhi yaje imeanza kushambuliwa pia wanijipigia hadi karibu na moscow halafu wanarudi. kesho tena

Ukraine imepoteza pia askari na miundombinu yenye thamani ya matrilion ya dola. lakini Mbwa kula mbuzi sio hadithi hadithi ni Mbuzi kula Mbwa.
.
Maeneo walio chukua russia yana mgogoro tangu 2014 na yalikua na udhibiti wa waasi kwa kiasi fulani. mafanikio makubwa ya rusia ni Mariupol napo ni baada ya kulipua mji wote.
Sasa Russia ili kushinda vita hivi njia pekee ni Nukes maana ujio wa HIMARS ni stori ambayo wengi hawapend kusikia.

now makombora mengi ya rusia yanatokea katika Nyambizi tu.

Source: Normal Millitary critical analysis[

Ikiwa source zako ni CNN,BBC............ lazima useme hivyo n si vinginevyo lakini unapaswa ujue jambo moja muhimu Russia inapigana na west yote & USA.

Ukweli mchungu vikwazo vya west dhidi ya Russia vinawaumiza sana wananchi wa kawaida na uchumi pia gharama za nishati ya gas imekosa mbadala ni lazima west wapange mbinu mpya mkakati wa vikwazo umeshindwa Russia ipo bado imara.
 
Kwanza kabisa tutazame ni nini source ya vita?

Hii vita sio ya bahati mbaya ila ni vita ambayo ilitengenezwa, hasa na WESTERNS. Kwa upande wa pili, Russia tayari alijua ipo siku atakuja kupambana na NATO indirect way or direct way, kwahiyo na yeye alijipanga mno juu ya kupambana.

Miaka ya nyuma kuanzia 2012 au 14, UKRAINE alianza saidia misaada ya silaha na mafunzo kutoka mataifa ya Ulaya. Hii ilikuwa ni indicator ya kwanza kwa Russia kutambua kuwa Ukraine anajiandaa kupambana nae. Na yeye hakuwa na budi kujiandaa.

Sasa ni nini kilifanya Russia ajikite ktk hii vita, KGB ilifeli sehemu moja tu kwa Putin. Kumuaminisha Rais Putin yeye ni mfalme anayeogopwa zaidi hasa ktk misimamo mikali na kijeshi ulimwenguni. HAPA NDIPO WALIPOANZA KUFELI.

Kwanini alifeli hapo? Putin akatengenezewa mazingira aseme kuwa hii operation yoyote atakayeingilia atapotezwa kabisa. Alitegemea watu wangeshtushwa mno na hii kauli, na ni kweli walishtushwa na kuogopwa ila kwa bahati mbaya hii kauli ilikuwa ni upuuzi tu kwa westerns. Nia yao Westerns ni kumtaka Russia aingie vitani, na ni kweli kaingia, walimfanyaje ili aingie?

Putin alipoitamani CRIMEA, watu walicheza na akili yake, wakamruhusu aimege na kuichukua ili ajiome mwenye power nq hakuna wa kumgusa ili sasa aje aitamani Ukraine yote na asiwe mtu wa kumuingilia kama Crimea. Huu ni mtego ambao CIA walitaka Putin ajiaminishe zaidi. Kwa hapa Tz ni kama vile Mh Mpango alipopigwa na ule ugonjwa mpaka akanusurika kufa, watu wa kazi hawakutaka mpango afe, walijua Mpango ndo operator mkuu wa pesa wa jiwe, so ukigusa afya yake umegusa afya jiwe. Walijua kabisa mpango lazima apate support ya kiafya kutkka kwa jiwe, ni kweli kabisa, Dokta wa Jiwe akamtibu mpango na akapona, watu walitafuta TRUST ya Dokta kwa Jiwe kabla hawajamdondosha jiwe. Jiwe alipoanza kuumwa alimuamini mno Dokta wake sababu ndo mtu alimtibu mpango, hakuyaona mahesabu haya marefu. Daima watu mashujaa huwa wanaangushwa na mambo madogo mno, hata ktk vitabu vitakatifu kumbuka kuanzia Adam, Samson n.k

Putin alijiamini hivyo baada ya kumega Crimea, akajiona yeye ni untouchable na ulimwengu mzima hakuna mbabe zaidi yake, hakujua kuwa wenzie waliruhusu vile for a reason

Naendlea ...
 
Wee jamaa ni kiazi kweli kwaiyo ulifungua Uzi ili upate mawazo ya kinato NATO mjinga kabisa kwaiyo anayeshinda vita ni Nani kama si Ukrein maana maeneo yote ambayo RUSSIA alisema anayataka na kachukua tayri na kaongeza mengine
Mbona unatukana dogo, sio vizuri kosoa mtu kwa heshima kama hukubaliani na maoni yake. Mimi najitambua sina ushabiki wakitoto pia medani naitambua kwa nadharia na vitendo. Eleza kitu gani hujuelewa uelimishwe kama una mihemko na matusi yako pita kushoto.
 
Sasa matokeo yake ni nini? Putin haamini kuwa mpaka sasa Operation yake imefika hapo ilipofika. Aliamini atapambana na Ukraine pekee, aliamini hakuna silaha zitakazoingizwa Ukraine, na ndio maana akatoa ule mkwara mzito.

Katika watu ambao kwa sasa wanachukia haya mapigano, basi wa kwanza ni putin, kwanini? Ndani ya Russia kuna vijana wengi mno waliozaliwa miaka ya 80 na 90 na 20, hawajui uchungu wa nchi, HAWAELEWI UNAPOWAAMBIA TULINDE NCHI DHIDI YA NATO.

Hiki ndicho kikapelekea Putin kuzima kabisa vyombo vya habari nchini Russia kureport operation hii. Sanctionz alizopigwa Russia hakuna raia anayeweza vumilia yale maisha isipokuwa viongozi pekee wao wana kila kitu. Pia tuelewe Russia ni kama CCM ila wao anayetawala ni mmoja, lakini ni nchi ambayo wale matop ndio wanaofurahia mema ya nchi, ombwe kubwa la raia linapinga mno genge hili, na hili ndio genge ambalo putin analilea sababu limetoka nae mbali ktk kupambania nchi, wengi wao ni wazee sana, na wale wanaostafu wanaachia familia zao, huu ni mpasuko mkubwa ndani ya russia.

Endapo vyombo vya habari vingekuwa open russia, tungesikia na kuona mengi mengi sana. Leo tunasema mengi magumu wanayopitia Ulaya sababu wao kwao vyombo vya habari vipo huru, vikifunguliwa Russia kila mmoja atatenga muda wa kuiombea Russia, moto unaofuka Russia kuna siku tutaanza kuona moshi wake, na utakuja kutoka mpaka nje huo moto.

Mpaka sasa Russia ameshatumia Resources nyingi katika hii operation, wakati wenzake ndo kwanza wanaipigia hesabu operation kutembea zaidi ya miaka mitano. Kipindi putin ataanza kuchoka na majeshi yake, ndipo wenzake ndo kwanza watakuwa wanaanza mwendo. Na hii Russia anafahamu vyema, ndo maana kwa sasa kasi ya mashambulizi amepunguza ili pia kupima upepo majeshi ya ukraine wamejipanga vipi au wanataka wafanye nini? TUSISHANGAE KIPINDI HIKI TUKASIKIA UKRAINE AMEKOMBOA SEHEMU YOYOTE ILE, SHIKA SANA HILI NILILOSEMA.

Naendlea ...
 
Kwanza kabisa tutazame ni nini source ya vita?

Hii vita sio ya bahati mbaya ila ni vita ambayo ilitengenezwa, hasa na WESTERNS. Kwa upande wa pili, Russia tayari alijua ipo siku atakuja kupambana na NATO indirect way or direct way, kwahiyo na yeye alijipanga mno juu ya kupambana.

Miaka ya nyuma kuanzia 2012 au 14, UKRAINE alianza saidia misaada ya silaha na mafunzo kutoka mataifa ya Ulaya. Hii ilikuwa ni indicator ya kwanza kwa Russia kutambua kuwa Ukraine anajiandaa kupambana nae. Na yeye hakuwa na budi kujiandaa.

Sasa ni nini kilifanya Russia ajikite ktk hii vita, KGB ilifeli sehemu moja tu kwa Putin. Kumuaminisha Rais Putin yeye ni mfalme anayeogopwa zaidi hasa ktk misimamo mikali na kijeshi ulimwenguni. HAPA NDIPO WALIPOANZA KUFELI.

Kwanini alifeli hapo? Putin akatengenezewa mazingira aseme kuwa hii operation yoyote atakayeingilia atapotezwa kabisa. Alitegemea watu wangeshtushwa mno na hii kauli, na ni kweli walishtushwa na kuogopwa ila kwa bahati mbaya hii kauli ilikuwa ni upuuzi tu kwa westerns. Nia yao Westerns ni kumtaka Russia aingie vitani, na ni kweli kaingia, walimfanyaje ili aingie?

Putin alipoitamani CRIMEA, watu walicheza na akili yake, wakamruhusu aimege na kuichukua ili ajiome mwenye power nq hakuna wa kumgusa ili sasa aje aitamani Ukraine yote na asiwe mtu wa kumuingilia kama Crimea. Huu ni mtego ambao CIA walitaka Putin ajiaminishe zaidi. Kwa hapa Tz ni kama vile Mh Mpango alipopigwa na ule ugonjwa mpaka akanusurika kufa, watu wa kazi hawakutaka mpango afe, walijua Mpango ndo operator mkuu wa pesa wa jiwe, so ukigusa afya yake umegusa afya jiwe. Walijua kabisa mpango lazima apate support ya kiafya kutkka kwa jiwe, ni kweli kabisa, Dokta wa Jiwe akamtibu mpango na akapona, watu walitafuta TRUST ya Dokta kwa Jiwe kabla hawajamdondosha jiwe. Jiwe alipoanza kuumwa alimuamini mno Dokta wake sababu ndo mtu alimtibu mpango, hakuyaona mahesabu haya marefu. Daima watu mashujaa huwa wanaangushwa na mambo madogo mno, hata ktk vitabu vitakatifu kumbuka kuanzia Adam, Samson n.k

Putin alijiamini hivyo baada ya kumega Crimea, akajiona yeye ni untouchable na ulimwengu mzima hakuna mbabe zaidi yake, hakujua kuwa wenzie waliruhusu vile for a reason

Naendlea ...
Bora usiendeee maana ulichoandika ni upotolo mtupu
 
Usitumie nguvu nyingi sana sikiliza huyu mwamba wa UK ex NATO millitary personel

Msikikize
 
Attachments

  • VID-20220718-WA0033.mp4
    13.6 MB
Achana naye huyo hivi vitoto vya juzi havijui maana ya Vita ya urusi na NATO wanadhani NATO no Ukraine....simply NATO anasupport tu si unajua adui wa adui yako no rafiki yako!
NATO ingeingia mazima ingekuwa ni vita ya dunia, na hiki NATO wameweza mno kukiepuka.
 
NATO ingeingia mazima ingekuwa ni vita ya dunia, na hiki NATO wameweza mno kukiepuka.

Huna unachojua chief umepoteza muda wako kwa kukopi na kupaste. Hao NATO hakuna hata mmoja mwenye ubavu wa kuingia front kupambana na Russia narudia hakuna.

NATO ni waoga na dhaifu ni kichaka cha US hawana lolote zaidi ya maneno ya mipasho ya taarabu. Russia alijipanga anajua fika angepambana na NATO na kumbuka kinachoendelea ni SMO akitangaza full scale war itakuaje?? Mpaka sasa ukraine inazid kumegwa na medvedev amewaambia msitegemee miaka miwili ijayo kutakua na taifa linaitwa Ukraine.

Mlitoa sanctions kwa pupa mkitegemea Russia ataanguka ila matokeo yake maisha yamekua magumu kwenu, serikal zenu zimeanza kuanguka ni AIBU sana Kwa west.

Nchi za west ukitoa US sahv zote zipo kimya hakuna zile kelele kama za mwanzo sahv wametulia kimya wanazozana wao kwa wao. Mzee never underestimate the power of Russia usishangae kuona nchi zaidi ya 30 zinaungana dhidi yake na bado hazimuwezi.
 
Sio wanajeshi tu Urusi imekamata mpaka makandama wa ngazi za juu kutoka marekani
Huku ndio kukurupuka kwenyewe. Sijui mueleweshwe vipi kimedani! Labda utaelewa kwa maswali hivi hivi; Hao makamanda wa ngazi za juu unaosema, waliingia Ukraine baada ya Urusi tayari keshatangaza OPERATION IN UKRAINE au kabla?
Walikuwepo Ukraine kwa sababu zipi na tupe evidence kwamba walijiingage kwe hii vita ndipo wakakamatwa na baada ya kukamatwa Urusi alichukua hatua gani dhidi ya Marekani?
Ukikosa majibu ya haya basi utatudhihirishia kuwa sheria za kivita huzifahamu
 
Sasa matokeo yake ni nini? Putin haamini kuwa mpaka sasa Operation yake imefika hapo ilipofika. Aliamini atapambana na Ukraine pekee, aliamini hakuna silaha zitakazoingizwa Ukraine, na ndio maana akatoa ule mkwara mzito.

Katika watu ambao kwa sasa wanachukia haya mapigano, basi wa kwanza ni putin, kwanini? Ndani ya Russia kuna vijana wengi mno waliozaliwa miaka ya 80 na 90 na 20, hawajui uchungu wa nchi, HAWAELEWI UNAPOWAAMBIA TULINDE NCHI DHIDI YA NATO.

Hiki ndicho kikapelekea Putin kuzima kabisa vyombo vya habari nchini Russia kureport operation hii. Sanctionz alizopigwa Russia hakuna raia anayeweza vumilia yale maisha isipokuwa viongozi pekee wao wana kila kitu. Pia tuelewe Russia ni kama CCM ila wao anayetawala ni mmoja, lakini ni nchi ambayo wale matop ndio wanaofurahia mema ya nchi, ombwe kubwa la raia linapinga mno genge hili, na hili ndio genge ambalo putin analilea sababu limetoka nae mbali ktk kupambania nchi, wengi wao ni wazee sana, na wale wanaostafu wanaachia familia zao, huu ni mpasuko mkubwa ndani ya russia.

Endapo vyombo vya habari vingekuwa open russia, tungesikia na kuona mengi mengi sana. Leo tunasema mengi magumu wanayopitia Ulaya sababu wao kwao vyombo vya habari vipo huru, vikifunguliwa Russia kila mmoja atatenga muda wa kuiombea Russia, moto unaofuka Russia kuna siku tutaanza kuona moshi wake, na utakuja kutoka mpaka nje huo moto.

Mpaka sasa Russia ameshatumia Resources nyingi katika hii operation, wakati wenzake ndo kwanza wanaipigia hesabu operation kutembea zaidi ya miaka mitano. Kipindi putin ataanza kuchoka na majeshi yake, ndipo wenzake ndo kwanza watakuwa wanaanza mwendo. Na hii Russia anafahamu vyema, ndo maana kwa sasa kasi ya mashambulizi amepunguza ili pia kupima upepo majeshi ya ukraine wamejipanga vipi au wanataka wafanye nini? TUSISHANGAE KIPINDI HIKI TUKASIKIA UKRAINE AMEKOMBOA SEHEMU YOYOTE ILE, SHIKA SANA HILI NILILOSEMA.

Naendlea ...

Kazia mkuu. unapiga Mulemule.
your so Loud and Clear.
 
Back
Top Bottom