Nani anashinda vita Ukraine?

Nani anashinda vita Ukraine?

Ukraine inanataka kwa gharama zozote zile za ndani au nje ya ukrane.Dunia yote itaabike lakini russia asambaratike.angalia hii.ngano wameichoma moto ili dunia mchukie russia.
 
Unajisahaulisha kuwa baada ya mkuu wa jesh la uk kutoa kauli ya kuwa tayar kwa jesh kimashambuliz haikupita wiki wazir mkuu akaanzishiwa zengwe mpaka akaachia ngazi
Boris katoka kwa kashfa zake zingine huko wala sio kwa sababu hiyo.
 
Naheshimu maoni yako ila nisamehe kukuambia hauna ujuzi wowote kuhusu medani, nomeshasema mwanzoni kama huna hoja pita pembeni. Hapa wanaitajika watu wanaojua ushandi wa medani unatafsiriwaje, wanaitajika watu wanaojua kwanini Russia alibadili mbuni na kuanza kutumia mizinga badala ya kuizunguka miji kwa haraka, kwanini anashambulia makazi ya watu, mashamba na viwanda. Please wajuvi njooni mtupe madini!
Umepuliza maswali ,nawe heshimu majibu ya wenzako.
Kama ulikua una majibu basi usingeuliza.
 
Ngoja nichimbe kidogo na mimi kabla watu wa Facebook na Baikoko hawajaongezeka.
ok
ni hivi


1. Urusi imejijenga kiuchumi japo sio tishio huko duniani lakini uchumi wake ameuwekeza zaidi katika maswala ya kijeshi.

2. Kijeshi pia ipo vizuri huku akimkimbiza vizuri tu Mmarekani kwa ubunifu wa technologia za kibabe

3. maswala ya intelijensia pia kwani majasusi wa russia ndio walio sambaza formula za kutengeneza Atomic bombs zikafika russia na nchi zingine pamoja na mafanikio lukuki

Nikijikita tu katika uvamizi wa taifa la UKRAINE.

Urusi baada ya kuitwaa Krimea 2014 nilitegemea wangefanya ujasusi wa kutosha na kupiga gharama yakinifu kuliko kuingia kichwa kichwa na kupata athari zisizo tarajiwa ambazo ni mbaya

haikufanya intelijensia au ilifanya kwa uchache
matokeo yake sasa.

1. Mageneral wake wengi wakafia vitani

2. Vifaru vya kijeshi TANKS : zaidi ya 1500 kuangamizwa kabisa (irriperable)
ambapo thamani ya kifaru kimoja cha urusi aina ya T-90AM kinagharimu dola milion 4.27 sawa na bilion 9 tsh zaid ya vifaru 1500 kuangamizwa hio ni zaid ya dola 6000M zaid ya trilion 12 TSH.

3. Ndege za kivita Aircrafts 200
hapa tunaongelea ndege aina ya Sukhoi Su-35 flanker E ndege moja ya aina hii inagharimu dola milion 85 sawa na zaidi ya Tsh. 197+Bilion jumla ya hasara ya ndege hizi ni zaidi ya dola bilion 17 (TSH 40+ trilion)

3. Hasara ya Armoed vehicle 2500+ ,
troops 20000+ na helcopta Tusizipigie hesabu

4. Hasara ya wanajesh zaid ya 23000+ japo hivi vifo sio big ishu kwa russia maana urusi hua haithamin sana vifo vya wanajeshi nafkiri historia ya vita wanavyo pigana urusi mnaijua hasa kwenye swala la kupoteza askari wengi tangu WW2. na mara nyingi rusia wanashinda vita kwa wingi wa Askari. tuachane na tathmin za vifo hivi kwanza nikiweka wengi mtasema ni propaganda.
ila kwa faida tu ujue theluthi mbili ya jeshi la ardhini la russia lipo Ukraine na vita vinavyo endelea hakuna shabaha za kijeshi zinazo lengwa kwa sasa so ni mwendawazimu tu anayejua kua PUTIN atashinda hii vita.

5. Gharama za uendeshaji wa vita mishahara ya wafanya kazi penshen za wanao kufa vitani kwa familia Nk

6. Vikwazo na mali zikizokua freezed na zilizo taifishwa ni matrilion ya madolari

7. Kupoteza ushawishi wa kikanda na soko la silaha na bidhaa zingine kwa washirika wake tu kama india ni ma matrilion ya madolari pia.

Kwanza hata Ardhi yaje imeanza kushambuliwa pia wanijipigia hadi karibu na moscow halafu wanarudi. kesho tena

Ukraine imepoteza pia askari na miundombinu yenye thamani ya matrilion ya dola. lakini Mbwa kula mbuzi sio hadithi hadithi ni Mbuzi kula Mbwa.
.
Maeneo walio chukua russia yana mgogoro tangu 2014 na yalikua na udhibiti wa waasi kwa kiasi fulani. mafanikio makubwa ya rusia ni Mariupol napo ni baada ya kulipua mji wote.
Sasa Russia ili kushinda vita hivi njia pekee ni Nukes maana ujio wa HIMARS ni stori ambayo wengi hawapend kusikia.

now makombora mengi ya rusia yanatokea katika Nyambizi tu.

Source: Normal Millitary critical analysis[
Oh kuumbe! Hakuna su 35 yoyote iliyodondoshwa Ukraine zaidi ya rumours ziso na uhakika.
Ka 52, mi28 ( heloes) na su 25 na 34( attack aircraft) Ni miongoni mwa ndege zilizodondoshwa mno( by airdefences systems) huko.
Su 35 Ni air superiority aircraft , multrole lakini imetumika mara chache zaidi ya hizo tajwa hapo juu coz Ukraine airforce Ni dhaifu kupita kiasi dhidi ya Russia hasa kwenye air to air combat.
Kutokea mwanzo wa Vita enzi za mystery "ghost of Kyv" Hakuna confirmed air to air kill ya Ukraine airforce dhidi ya Russia. Ukraine imeendelea kucontain less modernized version ya SU 27, mig 29( Soviet made) ambayo Zina poor avionics ambazo Ni vulnerable to be attacked by newest Russian superiority fighterjet Su 35 bill kusahau long range Nuclear capable aircraft TU 23. Iko nyumbani Russia inaleta maafa magharibi mwa Ukraine

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Kwanza kabisa tutazame ni nini source ya vita?

Hii vita sio ya bahati mbaya ila ni vita ambayo ilitengenezwa, hasa na WESTERNS. Kwa upande wa pili, Russia tayari alijua ipo siku atakuja kupambana na NATO indirect way or direct way, kwahiyo na yeye alijipanga mno juu ya kupambana.

Miaka ya nyuma kuanzia 2012 au 14, UKRAINE alianza saidia misaada ya silaha na mafunzo kutoka mataifa ya Ulaya. Hii ilikuwa ni indicator ya kwanza kwa Russia kutambua kuwa Ukraine anajiandaa kupambana nae. Na yeye hakuwa na budi kujiandaa.

Sasa ni nini kilifanya Russia ajikite ktk hii vita, KGB ilifeli sehemu moja tu kwa Putin. Kumuaminisha Rais Putin yeye ni mfalme anayeogopwa zaidi hasa ktk misimamo mikali na kijeshi ulimwenguni. HAPA NDIPO WALIPOANZA KUFELI.

Kwanini alifeli hapo? Putin akatengenezewa mazingira aseme kuwa hii operation yoyote atakayeingilia atapotezwa kabisa. Alitegemea watu wangeshtushwa mno na hii kauli, na ni kweli walishtushwa na kuogopwa ila kwa bahati mbaya hii kauli ilikuwa ni upuuzi tu kwa westerns. Nia yao Westerns ni kumtaka Russia aingie vitani, na ni kweli kaingia, walimfanyaje ili aingie?

Putin alipoitamani CRIMEA, watu walicheza na akili yake, wakamruhusu aimege na kuichukua ili ajiome mwenye power nq hakuna wa kumgusa ili sasa aje aitamani Ukraine yote na asiwe mtu wa kumuingilia kama Crimea. Huu ni mtego ambao CIA walitaka Putin ajiaminishe zaidi. Kwa hapa Tz ni kama vile Mh Mpango alipopigwa na ule ugonjwa mpaka akanusurika kufa, watu wa kazi hawakutaka mpango afe, walijua Mpango ndo operator mkuu wa pesa wa jiwe, so ukigusa afya yake umegusa afya jiwe. Walijua kabisa mpango lazima apate support ya kiafya kutkka kwa jiwe, ni kweli kabisa, Dokta wa Jiwe akamtibu mpango na akapona, watu walitafuta TRUST ya Dokta kwa Jiwe kabla hawajamdondosha jiwe. Jiwe alipoanza kuumwa alimuamini mno Dokta wake sababu ndo mtu alimtibu mpango, hakuyaona mahesabu haya marefu. Daima watu mashujaa huwa wanaangushwa na mambo madogo mno, hata ktk vitabu vitakatifu kumbuka kuanzia Adam, Samson n.k

Putin alijiamini hivyo baada ya kumega Crimea, akajiona yeye ni untouchable na ulimwengu mzima hakuna mbabe zaidi yake, hakujua kuwa wenzie waliruhusu vile for a reason

Naendlea ...
Duh umeandika kws kujifurahisha kule Crimea kulikua na Little green men kazi yao ilikua ndogo TU kuiteka na kusimamia uchaguzi bila kero.
Hata baada ya hapo Bado Ukraine inazidi kumegwa

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Russia ndio huyo wenge kibao mpaka kajikuta terehe 21 anapiga SU-34M jet fighter la ukweli ye analipiga mwenyewe huo pia ni uwoga.
Friendly fire Ni kawaida kabisa vitani , yaani changamoto ambayo so rahisi kuikwepa hutokea vitani kote ulimwenguni.
Chukua hi kule Tz katika 1978 waliidondosha mig21(f7) ndege yao wenyewe after no fly zone .
Kule Iraq Mara kadhaa US (2003) ilidondosha ndege zake kwa friendly fire.
Hata India 2019 waliidondosha ndege yao kwa friendly fire.
Nothing new br!


Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom