Kwanza kabisa tutazame ni nini source ya vita?
Hii vita sio ya bahati mbaya ila ni vita ambayo ilitengenezwa, hasa na WESTERNS. Kwa upande wa pili, Russia tayari alijua ipo siku atakuja kupambana na NATO indirect way or direct way, kwahiyo na yeye alijipanga mno juu ya kupambana.
Miaka ya nyuma kuanzia 2012 au 14, UKRAINE alianza saidia misaada ya silaha na mafunzo kutoka mataifa ya Ulaya. Hii ilikuwa ni indicator ya kwanza kwa Russia kutambua kuwa Ukraine anajiandaa kupambana nae. Na yeye hakuwa na budi kujiandaa.
Sasa ni nini kilifanya Russia ajikite ktk hii vita, KGB ilifeli sehemu moja tu kwa Putin. Kumuaminisha Rais Putin yeye ni mfalme anayeogopwa zaidi hasa ktk misimamo mikali na kijeshi ulimwenguni. HAPA NDIPO WALIPOANZA KUFELI.
Kwanini alifeli hapo? Putin akatengenezewa mazingira aseme kuwa hii operation yoyote atakayeingilia atapotezwa kabisa. Alitegemea watu wangeshtushwa mno na hii kauli, na ni kweli walishtushwa na kuogopwa ila kwa bahati mbaya hii kauli ilikuwa ni upuuzi tu kwa westerns. Nia yao Westerns ni kumtaka Russia aingie vitani, na ni kweli kaingia, walimfanyaje ili aingie?
Putin alipoitamani CRIMEA, watu walicheza na akili yake, wakamruhusu aimege na kuichukua ili ajiome mwenye power nq hakuna wa kumgusa ili sasa aje aitamani Ukraine yote na asiwe mtu wa kumuingilia kama Crimea. Huu ni mtego ambao CIA walitaka Putin ajiaminishe zaidi. Kwa hapa Tz ni kama vile Mh Mpango alipopigwa na ule ugonjwa mpaka akanusurika kufa, watu wa kazi hawakutaka mpango afe, walijua Mpango ndo operator mkuu wa pesa wa jiwe, so ukigusa afya yake umegusa afya jiwe. Walijua kabisa mpango lazima apate support ya kiafya kutkka kwa jiwe, ni kweli kabisa, Dokta wa Jiwe akamtibu mpango na akapona, watu walitafuta TRUST ya Dokta kwa Jiwe kabla hawajamdondosha jiwe. Jiwe alipoanza kuumwa alimuamini mno Dokta wake sababu ndo mtu alimtibu mpango, hakuyaona mahesabu haya marefu. Daima watu mashujaa huwa wanaangushwa na mambo madogo mno, hata ktk vitabu vitakatifu kumbuka kuanzia Adam, Samson n.k
Putin alijiamini hivyo baada ya kumega Crimea, akajiona yeye ni untouchable na ulimwengu mzima hakuna mbabe zaidi yake, hakujua kuwa wenzie waliruhusu vile for a reason
Naendlea ...