alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 5,682
- 12,148
Sidhani kama 2025 kutakuwa na mgombea mwingine,awamu ya pili ya mzee baba katiba itabadilishwa kidogo,ngoja tu aongoze kama kagame.watakuja wajinga kuharibu hizi juhudi tulizoanza nazo.kwa maana hiyo kwasasa hakuna anayefaaa,mpaka 2050 tutakuwa mbali.mungu ampe maisha marefu mh. Rais afikishe umri wa miaka 90 hivi.tena watu wenye roho ngumu huwa wanaishi miaka mingi hahahahaaa!!