Uchaguzi 2020 Nani anapaswa kumrithi Rais Magufuli?

Tanzania tunaijua na Watanzania Tunawajua.

Urais tunaujua na sifa za kugombea Urais tunazijua.

Rais Bora tunamjua na sifa za Rais Bora tunazijua.

Je, kwa Aina ya utawala tulionao na kwa nia ya kuyaendeleza Yale mazuri yaliyotendwa na Rais tuliyenaye, Nani anapaswa kumrithi 2020 au 2025?
2025 kwa nini kote huko?
for damage limitation, mbadala lazima iwe 2020!!
 
Mmoja wapo anatuhumiwa kujihusisha Na mambo ya 'haki Za binadamu' Na Mwingine anajiona kila kitu anajua
Kwani hiyo haki yake ya binadamu inatuhusu nn sisi watanzania?
Haina tofauti na maisha binafsi ya waliotangulia kushika kijiti kwenye nafasi hiyo.
Though the best anaweza akawa lissu ama akawa underground Fulani asiye na jina kwa sasa
 
Tanzania tunaijua na Watanzania Tunawajua.

Urais tunaujua na sifa za kugombea Urais tunazijua.

Rais Bora tunamjua na sifa za Rais Bora tunazijua.

Je, kwa Aina ya utawala tulionao na kwa nia ya kuyaendeleza Yale mazuri yaliyotendwa na Rais tuliyenaye, Nani anapaswa kumrithi 2020 au 2025?
T.lissu
 
Mahiga kwa vile kwenye mauzinduzi huwepo hata kama tunafadhili kwa fedha zetu za ndani.
 
Mungu ampe umri mrefu raisi wetu kama miradi ya miaka 30 kaifanya kwa miaka mitatu basi atawale milele kama sultan suleyman kan
Ukiondoa mapungufu madogo magu kapiga kazi kubwa kwa kipindi chake kidogo alicho madarakani,ingependeza ss awekeze pia kwenye sekta ya afya na elimu kwa nguvu kubwa km alivyowekeza kwenye miundombinu
 
Next atakuwa RAISI MUISLAMU. Waislamu wana imani sana
Idiot. Idiot. Pumbavu. Zama hizi si za kuangalia dini. Dkt Magufuli alionwa anafaa kuwa rais kabla hata ya kuchukua fomu. System haina dini, system haitambui unaenda msikitini mara ngapi, uadilifu haujali dini, dini yako ni ya kwako tu. Dkt Magufuli alichaguliwa na watu wa dini zote na wasiokuwa na dini. Hivyo usitegemee eti rais aje achaguliwe kwa sababu ni muislamu. Hata mh. kigwangala au yeyote anahitaji kukidhi viwango vya uadilifu, mfano huyo kigwangala si muafilifu mpaka dk hii keshapoteza he will never ever become presida kwa sababu ya kukosa uadilifu
 
Kwa sababu Pombe kasema kwa mdomo wake ana frustrations, kuanzia January 2019 amwachie Samia Suluhu amalizie kiporo. Baadaye tukutane 2020.
 
Tanzania tunaijua na Watanzania Tunawajua.

Urais tunaujua na sifa za kugombea Urais tunazijua.

Rais Bora tunamjua na sifa za Rais Bora tunazijua.

Je, kwa Aina ya utawala tulionao na kwa nia ya kuyaendeleza Yale mazuri yaliyotendwa na Rais tuliyenaye, Nani anapaswa kumrithi 2020 au 2025?
TUNDU ANTIPAS MGWAI LISU
 
Tufanyaje ili wazenji na sisi tupate Rais jamhuri ya Muungano?
Uangalieni kwanza huo muungano ni wenu??
Mmeungana?? Au mmeungwa?? Ndipo muanze kujadili urahisi mtaupataje kama muungano ni huu nyinyi ni umakamo tu mpaka mwisho wa Tz
Ni fikra zangu ndugu zangu wa Zanzibar mnisamehe
 
Back
Top Bottom