Uchaguzi 2020 Nani anapaswa kumrithi Rais Magufuli?

Mkuu, utani wa aina hii, tena siku ya Krismas, siyo mzuri.
Zitto: anatuhumiwa kuwa kuwa uraia wa mashaka, na kuhongwa pesa, tumpe urais ili iweje?
Mbatia: tumpe urais kwa lipi la maana alilotufanyia?
Post yako ilifaa sana kuja April fools!
Mbatia atapewa nchi kama mume apewaye mke na kuaminiwa na upande wa pili kuwa atamtunza na kulinda mtoto wao.
 
Huyu tuliye naye ni mpk atakapo rest in peace. Maana miaka 10 itaisha akiwa anainyoosha nchi, halafu baada ya hapo ataanza kuijenga nchi. Ili akamilishe ujenzi wa nchi ni bora afie madarakani.
Nani akubali upunga
 
Tanzania tunaijua na Watanzania Tunawajua.

Urais tunaujua na sifa za kugombea Urais tunazijua.

Rais Bora tunamjua na sifa za Rais Bora tunazijua.

Je, kwa Aina ya utawala tulionao na kwa nia ya kuyaendeleza Yale mazuri yaliyotendwa na Rais tuliyenaye, Nani anapaswa kumrithi 2020 au 2025?
Urais siyo ufalme, haurithiwi.

Siku itapofika itapigwa kura na atashika madaraka yule ataechaguliwa na wengi. Yeyote awaye.
 
2020 atakuwa mwingine (kwa sasa sijui jina), 2025 ni Magufuli na 2030 atarudi yeye kukamilisha mihula miwili mfululizo. Katiba inakataza? Nawaza tu.
 
Aliyepo madarakani atamaliza 10yrs bila sheèda baada ya hapo ni muislam atafuata tena atatoka Zanzibar. Wa bara mtasubiri sana hadi 2035.kwa maana nyingine rais wa kutoka bara yuko chuo kikuu kwa sasa.Ni ngumu kumeza lakini jitahidini.
Haya umeyasema wewe.
 
Urais wazanzibari sahauni mtapata makamu hata miaka 50 ijayo Tangu mzee Ally mpaka leo hakuna cha Uzanzibari wala nini Kaingia mkapa wa bara kaja JK bara Sasa mzee Magu bara Na ajae ni bara Muhimu Mungu atuletee rais mwenye imani ataewapenda raia wake, haijalishi dini gani, Muhimu kwetu vitu viwili idumu amani yetu na maelewano, Atuletee na maendeleo bila kutudhuru rais
Ni mawazo yangu tu wazanzibari wenzangu afwan
 
Aliyepo madarakani atamaliza 10yrs bila sheèda baada ya hapo ni muislam atafuata tena atatoka Zanzibar. Wa bara mtasubiri sana hadi 2035.kwa maana nyingine rais wa kutoka bara yuko chuo kikuu kwa sasa.Ni ngumu kumeza lakini jitahidini.
2035 itakuwa zamu yangu Mimi
 
Next atakuwa RAISI MUISLAMU. Waislamu wana imani sana

TENA HAO NI ILE GRISI YA VYUMA VILIVYOKAZA. TUOMBE TUPATE RAISI SHUPAVU, MPOLE NA MKALI PAPASWAPO, JASIRI, MWENYE IMANA, ASIYE MZINIFU NA MFUJAJI MALI,MSIKILIVU, MWENYE MAAMUZI THABIT NA YENYE TIJA KWA WATANZANIA, MWENYE UHUSIANO MWEMA NA WATANZANIA NA NCHI JIRANI NA RAFIKI, MKALI KWA WALE WANAFIKI NA WANAOTUMIKA NA WASIOIPENDA TZ.

PIA NI WAKATI PIA TUPATE VIONGOZI WA UPINZANI MATHUBUTI, WAZALENDO, WASIO NA UCHU WA MADARAKA,
 
Wewe acha uchochezi katiba hasemi juu ya viongozi kuwa waisilamu au wakristo wala ya chama tawala haisemi raisi lazima atawale miaka 10
 
TENA HAO NI ILE GRISI YA VYUMA VILIVYOKAZA. TUOMBE TUPATE RAISI SHUPAVU, MPOLE NA MKALI PAPASWAPO, JASIRI, MWENYE IMANA, ASIYE MZINIFU NA MFUJAJI MALI,MSIKILIVU, MWENYE MAAMUZI THABIT NA YENYE TIJA KWA WATANZANIA, MWENYE UHUSIANO MWEMA NA WATANZANIA NA NCHI JIRANI NA RAFIKI, MKALI KWA WALE WANAFIKI NA WANAOTUMIKA NA WASIOIPENDA TZ.

PIA NI WAKATI PIA TUPATE VIONGOZI WA UPINZANI MATHUBUTI, WAZALENDO, WASIO NA UCHU WA MADARAKA,
Mwenye sifa zoote hizo bado hajazaliwa, labda malaika
 
Back
Top Bottom