Nani anamuelewa Pastor Tony Kapola?

Anaitwa Antony Kapola
Ana Masters ya Cyber security

Mkewe ana PhD.

Ana kanisa lake Morogoro ndiyo. Ila ana semina karibia Mikoa mingi. Kote huko ulipopataja. Halazimiki kubaki hapo Morogoro

Kanisa lake lipo chini ya Ministry ya Eubert Angel, huyo nabii anaiyemuita baba.

Unaweza kumtafsiri Eubert kama tapeli, ila taifa lake linamuona wa maana. Anasaidia kupooza makali ya vikwazo vya kiuchumi.
masters ya cyber anakuwa mchungani eeeh kweli Mungu anawito😂
 
By the way napenda nikuambie kitu kimoja , ni somo gumu sana ila ni jepesi sana.

Mungu ni nani? Anaitwa nani? Ni wangapi?
Mungu ni Roho ya dimension ya. mwisho,anitwa YAHWE ana nafsi saba moja wapo ni yake mwenyewe na zingine sita za ukamilisho
 
Biblia ishasema wataokea manabii wa uongo na kweli.

Kujua inaweza ikawa sio kazi yako.

Ila kikubwa Roho upambanishwa na roho
Unaelewa ulichoandika,hizo ni njia mbili na mimi natakiwa kuchagua moja utaniambiaje sio kazi yangu.
 
Hujui unachokisema.

Binafsi naheshimu sana watumishi wa Mungu lakini ukweli acha usemwe. Wengine hawajasimama katika kweli na wanafanya madhara makubwa sana na huu Ukristo wetu wa kisasa wa kuabudu personality za hawa mitume na manabii badala ya kusimama katika Neno.

In short Kapola is dirty. Ameharibu mabinti wengi sana waliopita pale kwake. Clinically the guy can be classified as a prolific and ruthless sexual predator. Ingekuwa ni huko kwenye nchi za wenzetu angekuwa na kesi nyingi sana mahakamani za sexual manipulation, grooming and abuse.

Na kwa vile Mungu huwa hadhihakiwi, subiri anguko lake litakapofika ndiyo utaelewa. Kwa sasa kama unasali kwake au unamwona tu kwenye TV huwezi kuelewa. Tunza hii comment na tuombe tuwe wazima.

Pray for him, if you can!

View attachment 2678117
Hakika unamjua vyema sana...

Watumishi wake wengi alioanza nao zaman wamelikimbia kanisa kabisa...

Jiulize kwanini hataki kulitangaza kanisa lake kabisa?

Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
 
Halafu misukule yake ipo hapa imekazana kutoa vitisho eti usiwaseme watumishi wa Mungu kumbe Mungu wala hahusiki wanaendeshwa na wafuasi wa nguvu za giza!

Kuna mabinti wamepita pale wakawa sexually hawataki tena hata kusikia neno Yesu maishani mwao. Hawa wakiishia kwenda motoni siku ya mwisho huyu manipulator atakuja kujibu nini kwa roho hizi anazozipoteza?

Wakati masikini he is gifted as a preacher yaani angesimama katika haki na kweli angekuwa na huduma moja nzuri sana iliyojaa ushuhuda na ukombozi.
 
Halafu misukule yake ipo hapa imekazana kutoa vitisho eti usiwaseme watumishi wa Mungu kumbe Mungu wala hahusiki wanaendeshwa na wafuasi wa nguvu za giza!

Kuna mabinti wamepita pale wakawa sexually abused hawataki tena hata kusikia neno Yesu maishani mwao. Hawa wakiishia kwenda motoni siku ya mwisho huyu sexual predator
atakuja kujibu nini kwa roho hizi anazozipoteza?

Wakati masikini he is gifted as a preacher yaani angesimama katika haki na kweli angekuwa na huduma moja nzuri sana iliyojaa ushuhuda na ukombozi.

Inasikitisha sana. Mchungaji unakuwa sexual predator kwa kondoo wako mwenyewe? Tena mabinti wadogo wadogo ambao ndiyo kwanza wanajitambua kimaisha? Totally unacceptable!
Ziko ndoa alizigomea bila sababu za kueleweka..

Kumbe moja ya wapenzi wake wa sirini..

Kuna mengi ya kumzungumzia...hakika si mtumishi wa kweli wa Mungu japo amepewa kipawa cha kuhubiri...

Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
 
Eubert Angel, huyo nabii anaiyemuita baba
Huyu gold smuggler, charlatan wa Zimbabwe ni Punguani pekee anayeweza kumwamini. Huyo mzee muhuni sana, yeye kwenye events zake anapenda sana malaya ilivyo kawaida ya hawa waabudu mashetani wolf's in sheepskin. Huyo ni Baba wa kiroho wa Bushiri, mtalemwa na wengine wengi. Mjuzi wa miujiza fake, miracle money na nabii fake ambao wanakuwa na informers wanaowafeed matatizo ya watu kisha wanakuja kujifanya wanawatabiria. Huyo kapola ni gospel motivation speaker, soon ataanza uhuni kama huo wa urbert, Bushiri na kina mtalemwa lengo ni kutumbukiza watu jehanum kwa kuwaondolea ACD za imani kwa kuwapa chumvi, maji, mafuta na vitu mbadala wa imani. Ole kwao baby Christians wale waliozoea maziwa pekee huku wakikataa chakula kigumu maana ni wengi watayakataa mafundisho yenye uzima na kugeukia mafundisho ya mashetani nao watajipatia waalimu makundi makundi maana wanayo masikio ya utafiti.
Kwenye hizo shrines, hakuna Injili ya toba iletayo wokovu, hakuna kukua kiroho wa kujifunza neno na maombi,hakuna kukemea dhambi na kuwafanya watu waamini kwenye neno la Mungu na jina lipitalo majina yote. Maranatha, Yesu anarudi
 
Acha upumbavu wewe. Siku hizi waliopaswa kuwa wachungaji wanafanya kazi zingine na waliopaswa kufanya kazi zingine ndo wako bize kupotosha watu kupitia dini. Huyo boya unayemtetea ni kenge tu kama wewe.
Mtawatambua kwa matunda yao neno jema haliwezi kutoka kwa mtu mwema,sasa nimejua kwa matusi yako wewe ni nani endelea kutumikia ufalme wa giza.
 
Ziko ndoa alizigomea bila sababu za kueleweka..

Kumbe moja ya wapenzi wake wa sirini..

Kuna mengi ya kumzungumzia...hakika si mtumishi wa kweli wa Mungu japo amepewa kipawa cha kuhubiri...

Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app

Ila hawa jamaa wana nguvu. Sijui huwa wanazipata wapi hizi nguvu za kupumbaza watu.

Huyu dogo wa SUA aliyemwachia kanisa la Morogoro ameoa pisi moja kali sana. Ilikuwa inaimba na bado inaimba kwaya hapo hapo kanisani. Sasa kumbe huyu jamaa naye alikuwa anaikula. Huyo jamaa aliyeachiwa kanisa akatonywa kuwa mchumba wako analiwa na ushahidi akapewa. Jamaa akawakana waliomletea ushahidi na kusema hata kama anamla so what?

Ndo hapo nikajua kuwa hawa jamaa wakikukamata unakuwa kama vile zombie haijalishi elimu yako ya darasani. Lakini wengi waliogundua tabia zake chafu waliokuwa wakisali pale karibu wote walishakimbia.

Ogopa sana ukijilengesha kwenye anga za hawa manabiii. Ndiyo maana mkeo akikwama huko we andika maumivu tu kwamba huna ndoa hapo maana Baba Mchungaji atakachosema atafanyiwa ikiwemo hata kupewa mbususu.
 
Ila hawa jamaa wana nguvu. Sijui huwa wanazipata wapi hizi nguvu za kupumbaza watu.

Huyu dogo wa SUA aliyemwachia kanisa la Morogoro ameoa pisi moja kali sana. Ilikuwa inaimba na bado inaimba kwaya hapo hapo kanisani. Sasa kumbe Kapola naye alikuwa anaikula. Huyo jamaa aliyeachiwa kanisa akatonywa kuwa mchumba wako analiwa na Baba Mchungaji na ushahidi akapewa. Jamaa akawakana waliomletea ushahidi na kusema hata kama Mchungaji anamla mchumba wake so what?

Ndo hapo nikajua kuwa hawa jamaa wakikukamata unakuwa kama vile zombie haijalishi elimu yako ya darasani. Lakini wengi waliogundua tabia zake chafu waliokuwa wakisali pale karibu wote walishakimbia.

Ogopa sana ukijilengesha kwenye anga za hawa manabiii. Ndiyo maana mkeo akikwama huko we andika maumivu tu kwamba huna ndoa hapo maana Baba Mchungaji atakachosema atafanyiwa ikiwemo hata kupewa mbususu.
Hio pisi ni pisi kweli mkuu...wala huongopi..

Dada yangu alikwama kwenye hilo kanisa,hata umwambie nini haelewi.kila saa biashara yake imefungwa tena ile mida ya biashara. Mara mikesha mara misa za jioni..michango lukuki mpaka nikaona sasa anapotea na sina la kufanya.

Nashukuru sasa hivi amefanikiwa kuchomoka.

Nahisi pia nguvu za giza hutumika humo.

Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
 
Hio pisi ni pisi kweli mkuu...wala huongopi..

Dada yangu alikwama kwenye hilo kanisa,hata umwambie nini haelewi.kila saa biashara yake imefungwa tena ile mida ya biashara. Mara mikesha mara misa za jioni..michango lukuki mpaka nikaona sasa anapotea na sina la kufanya.

Nashukuru sasa hivi amefanikiwa kuchomoka.

Nahisi pia nguvu za giza hutumika humo.

Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
Oooh! Pole sana mkuu. Ni vyema kama sister aliweza hatimaye kuponyoka maana huwa siyo kazi rahisi. Jamaa wana nguvu za ajabu!

Tukisema hapa watu wanasema pengine tuna chuki au tunawasema vibaya watumishi lakini ukiona sexual abuse, economic exploitation na psychological manipulation wanazopitia watu waliofanywa mazombie na hawa Biblical motivational speakers wahuni mpaka unashangaa yaani. Imagine hao vijana wake wa muziki na logistics anaozunguka nao kwenye semina zake hizi za upigaji huwa hawalipi hata senti moja wakati wengine wameoa na wana familia. Anawaambia eti ni lazima wajitolee kwa ajili ya ufalme wakati yeye na mke wake wanaponda raha kwenye 5 Star hotels. Hata huruma kidogo hakuna. Juzi juzi hapa eti ndiyo anawapa one time pay ya 60K Tsh kila mmoja as a courtesy. Imagine vijana wadogo wameacha mishe zao zote za kujiendeleza kimaisha wanahangaika bure. Yaani wake zao ndiyo wanahangaika kuendesha familia huku waume zao wanajitolea kuzunguka na Baba Mchungaji bure huku Baba Mchungaji mwenyewe anapiga mpunga mrefu. Mpaka wanapopigika sana na kuwa disillusioned ndiyo baadhi yao wanachomoka wakiwa depressed na hawajui hata pa kuanzia tena! Inhumane!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom