Nani anamuelewa Pastor Tony Kapola?

kuna siku nilikuwa maeneo ya makumbusho nikaona watu wanaotoka kwenye ibada yake, yale mavazi tu ilitosha kuthibitisha hakuna ibada.
refer 1 Timotheo 2: 9-10
Kwa sasa zigo la kuendesha kanisa kaangushiwa yule dogo lecturer wa SUA aliyeoa pisi kali mwaka juzi. Baba Mchungaji mwenyewe yupo anazunguka kupiga pesa mikoani na kutafuta u celebrity. Dogo mwenyewe aliyeangushiwa zigo ndo kwanza ameanza Ph.D SUA na Ph.D za SUA zilivyo ngumu sijui kama ataiweza huku anaendesha kanisa maana maombi na mikesha ni kama yote wakati huo huo ana familia changa tena yenye watoto mapacha na mtoto wa tatu akiwa njiani.

Mungu na Amsaidie 🙏🏿
 
Kwa sasa zigo la kuendesha kanisa kaangushiwa yule dogo lecturer wa SUA aliyeoa pisi kali mwaka juzi. Baba Mchungaji mwenyewe yupo anazunguka kupiga pesa mikoani na kutafuta u celebrity. Dogo mwenyewe aliyeangushiwa zigo ndo kwanza ameanza Ph.D SUA na Ph.D za SUA zilivyo ngumu sijui kama ataiweza huku anaendesha kanisa maana maombi na mikesha ni kama yote wakati huo huo ana familia changa tena yenye mapacha na mtoto wa tatu akiwa njiani.

Mungu na Amsaidie 🙏🏿
hapo ibada nzima hakuna roho atakayeongea coz kichwa hakiconnect.
ni mwendo wa kuwa kama mtume Paulo alinukuliwa sana sehemu nyingi akisema
"kwa maana jinsi hii naongea katika hali ya kibinadamu wala si roho wa Mungu anayezungumza"
 
Nguo za hovyo ni zipi? Acheni mind za kufuata tamaduni za kiarabu na kizungu. Uliwahi kuona kuwa wanyama hawajavaa nguo? Mbona wanapendeza? Nguo ni matokeo ya dhambi na ni baada ya Adam na Eva kutenda dhambi kabla ya hapo nguo sio maamrisho ya Mungu Bali ni suala la kitamaduni. Kila jamii, na hata familia Ina tamaduni zake kuhusu Mavazi. Kwanza asili ya mwafrika ni kufunika tuu eneo la mbele tu sehemu nyingine zipo wazi. Kuna baadhi ya jamii za kiafrika pamoja na utandawazi wamedumisha Mila hizo mfano ni WAZULU wa Afrika kusini na Wana maendeleo kuliko sisi. Endeleeni kuwa watumwa wa Mila na tamaduni za kigeni mkidhani mnamfurahisha Mungu
Maendeleo ya kuteketea kwa ngoma?
 
Mama mchungaji
1688461707620.jpg
 
Kwa sasa zigo la kuendesha kanisa kaangushiwa yule dogo lecturer wa SUA. Baba Mchungaji mwenyewe yupo anazunguka kupiga pesa mikoani na kutafuta u celebrity. Dogo mwenyewe aliyeangushiwa zigo ndo kwanza ameanza Ph.D SUA na Ph.D za SUA zilivyo ngumu sijui kama ataiweza huku anaendesha kanisa full time maana maombi na mikesha ni kama yote.

Mungu na Amsaidie
Mungu amtie nguvu baba yao yuko kutafuta Hela mjini kuna hela jamani.
 
Mungu amtie nguvu baba yao yuko kutafuta Hela mjini kuna hela jamani.
Kanisani kwake alianzisha ujenzi mkubwa. Hata kabla haujasimama sawasawa akaona pengine mkwanja ulikuwa unaingia kiduchu. Akaamua kuhamishia huduma kwenye mahoteli makubwa makubwa katika miji tofauti tofauti huku akialika waimbaji wa gospel ma celebrity caliber ya akina Rose Muhando anawalipa millions huku kanisani kwake waumini bado wanapambana na ujenzi.

Huku kwenye ibada na semina za kwenye mahoteli makubwa haya naona ndiko amegundua kuna mkwanja wa kueleweka mpaka ameamua kutelekeza kikanisa chake mazima na kumwachia huyo dogo wa SUA. Na sasa kapata u celebrity fulani nadhani kurudi kwenye kikanisa chake alikoanzia anaona ni kama kupoteza muda tu. Jamaa mmoja ambaye yuko kwenye inner cycle yake anasema kwa sasa anatafuta apartment Masaki ahamie yeye na familia yake. Hicho kikanisa cha huko Uswazi kikimshinda huyo dogo aliyeachiwa naona kitajifia tu!

Pesa mwanaharamu!
 
Usiseme sio kazi yako,sema hauna macho ya rohoni, umetawaliwa na matendo ya mwilini na udini umekujaa.
Biblia ishasema wataokea manabii wa uongo na kweli.

Kujua inaweza ikawa sio kazi yako.

Ila kikubwa Roho upambanishwa na roho
 
Kanisani kwake alianzisha ujenzi mkubwa. Hata kabla haujasimama sawasawa akaona pengine mkwanja ulikuwa unaingia kiduchu. Akaamua kuhamishia huduma kwenye mahoteli makubwa makubwa katika miji tofauti tofauti huku akialika waimbaji wa gospel ma celebrity caliber ya akina Rose Muhando anawalipa millions huku kanisani kwake waumini bado wanapambana na ujenzi.

Huku kwenye ibada na semina za kwenye mahoteli makubwa haya naona ndiko amegundua kuna mkwanja wa kueleweka mpaka ameamua kutelekeza kikanisa chake mazima na kumwachia huyo dogo wa SUA. Na sasa kapata u celebrity fulani nadhani kurudi kwenye kikanisa chake alikoanzia anaona ni kama kupoteza muda tu. Jamaa mmoja ambaye yuko kwenye inner cycle yake anasema kwa sasa anatafuta apartment Masaki ahamie yeye na familia yake. Hicho kikanisa cha huko Uswazi kikimshinda huyo dogo aliyeachiwa naona kitajifia tu!

Pesa mwanaharamu!
Kurudi moro ngumu.

Kanisa lake mm nimesali mwanzoni alikuwa kasanga.

Mahubiri yake yanawafavour Sana mademu.

Sasa baada ya kuanza visemina zake dar makumbusho kutwa yuko hapo.hana muda tena wa kurudi morogoro saa hivi kaamia morpgoro hoteli kule waluguru hawana hela mpaka wauze mpunga.

Huku dar hakuna mtume hapataki ndo maana hauwakuti wakienda Rukwa,songea sijui tunduru kutwa mjini.

mjini Hapamkatai mtu.

Muulizeni pastor kimaro
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom