Nani anamuelewa huyu msanii Grand P?

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
17,080
2,000
Grand P alipotangaza atachukua form kugombea Urais yule Dictator Alpha Konde aliepinduliwa juzi na Jeshi akamuwekea vikwazo,hapo ndipo nikajua hawa Madikteta waoga sana box la kura.
 

ngaiwoye

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
930
1,000
Ni kweli mkuu ila vp source ya mafanikio na heshima aliyonayo
Alipata umaàrufu SABABU WATU walioamua kumuunga mkono kufatia haki yake alivyo NAYO. BAHATI NZURI alikua na management NZURI wakaweza kumantai status. KINYUME na hapa kwetu WATU wa hivi wanaishiliaga njiani, ref: chiku mbalanga, Dr shika, Huyu mc wa Sasa, kina harmorapa. Hawa Huwa hawafiki mbali simply because of poor management.
 

Papushikashi

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
9,394
2,000
Naimani mko buheri marafiki,

Naomba mwenye kuweza kuweka CV au taarifa za kina zitazofanya sisi wengine wa ukanda wa Afrika mashariki huku tumjue huyu bwana.Jamaa namfahamu kama msanii mwenye pesa ndefu sana na anaekubalika sanaa huko GUINEA sababu huwa naona huko u-tube anavyotrend kwa views nyingi na anavyoshobokewa na masister wa huko pia anaheshimika sana kwa ujumla wake.

Nimejaribu kufuatilia nyimbo zake huko u tube kiukweli sijaona anachovutia kabisa huyu bwana kuanzia sauti yake.Hata kucheza kwake jamaa anaenda vice versa na beat.ila vibe analopata si la Afrika.

Mwenye kumjua zaidi kwa kilicho chini ya uvungu kuhusu mafanikio ya huyu bwana aweke hapa sbb mi sjaona Cha maana. View attachment 1931823 View attachment 1931824
Mimi namkubali balaa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom