Nani anampa nguvu huyu? Na jeuri?

Nani anampa nguvu huyu? Na jeuri?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,004
Reaction score
871,075
1408739084951.jpg
 
Waliogundua ebola ndio wanaomuweka mjini huyu jamaa.
Nalog off
 
Watakuja wale "jamaa" wao kila kitu kinasababishwa na Marekani, hata nyumbani kwao wakikuta nyumba chafu wanadhani Marekani ndio kachafua
 
Kwa mbele wanamsema kwa nyuma wanampa silaha na nyenzo za kijeshi machoni pa wengi ni adui nyuma ya pazia ni rafiki mkubwa
 
huyu alikua backed na north sudan ili kuwapunguza nguvu uganda waliokua wanawasaidia south sudan kipindi walivyokua ni kikundi cha waasi kabla hawajawa nchi kamili!!! so it was al bashir proxy group!!! kwa sasa hana mfadhili wa kueleweka ndo mana anajifanya anataka amani na uwezo wake kijeshi umeshuka sana kwa sababu hana backing north sudan hawamuitaj tena maana south sudan ishakua nchi huru ndo mana anasurvive kwa uhalifu tu sasa kutoka kodi za kichwa maeneo walipo, wizi tu nk
 
Dunia yetu nyuma ya pazia ni dude moja la kutisha na katili mno
 
Kwa sasa anakula mizizi,nyama ya nyani na matunda ya misituni kati ya drc na afrika ya kati.
 
Wangempekelea Ebola immalize wanakufa watu wema wabaya wanaachwa inashangaza mno
 
Hivi huyu jamaa hajafikia cheo cha Gaidi?,au kwa kuwa ni Joseph maana toka namsikia mpaka leo anaitwa Muasi tu.
 
lord resistance army LRA kikundi cha magaidi wa kikristo wanaoongozwa na huyo jamaa.
 
Watakuja wale "jamaa" wao kila kitu kinasababishwa na Marekani, hata nyumbani kwao wakikuta nyumba chafu wanadhani Marekani ndio kachafua

umeona eee? yaani wao ni wavivu wa kufikili
 
Back
Top Bottom