Nani anampa nguvu huyu? Na jeuri?

Nani anampa nguvu huyu? Na jeuri?

lord resistance army LRA kikundi cha magaidi wa kikristo wanaoongozwa na huyo jamaa.

we lisen,g,e kweli yaani unachangia mada kama umeoza ubongo bwana
 
we lisen,g,e kweli yaani unachangia mada kama umeoza ubongo bwana

HaHaaa nimepiga ikulu.
Huo Ndio ukweli

http://en.m.wikipedia.org/wiki/Lord's_Resistance_Army
 
Joseph kony muasi na kiongozi wa kundi katili la LRA

Angekuwa anaitwa JUMA kimsingi angeitwa GAIDI. Lakini huyu kwa vile ni JOSEPH, hautasikia hata siku moja na kundi lake la LRA kuitwa magaidi. The world is not universal.
 
Back
Top Bottom