mhuri25
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 3,718
- 5,345
Kwann ukubali She akufuck kwanza style imekaa kiudhalilishaji hii JamaniUnayakuza wewe
Kwann ukubali She akufuck kwanza style imekaa kiudhalilishaji hii JamaniUnayakuza wewe
Mwanaume kulala chali ni udhalilishaji?Kwann ukubali She akufuck kwanza style imekaa kiudhalilishaji hii Jamani
Mtoto wa mwisho wa Nyerere.😅😅😅 unajikuta mtoto wa Nyerere kumbe Mjukuu tu
Ili mdada akuguck sioMwanaume kulala chali ni udhalilishaji?
Tumble KumeneNI mwendo wakukulana🤪🤪
Wewe ni mhenga eeh 😅😅Ili mdada akuguck sio
Mwanaume ni Mtawala siku zote Wewe ndio unadominate na unafanya style za kuonesha unadominate mchezo
Uje tufanye hako kaigizo tuone nani anamla mwenzakeHey guys nimemiss huku! 😋
Mambo ya malovee 😋
Mimi nachojua, issue ya sex inahusisha watu wawili, yaani mwanaume na mwanamke
Mnapoanza mahusiano mna-date mpaka mnafikia hatua ya kukulana
Nadhani huwa sio bahati mbaya, ni mmepanga na mmekubaliana, si ndio?
Inafika siku yenyewe, mnagusanisha vikojoleo kwa raha zenu😋
Sex inahusisha watu wawili
Muda wa sex kila mtu anakuwa anashughulika kwa namna yake sio?
Aliye juu anapump kimtindo, wa chini anachora sifuri na michezo mingine
Au kwa style nyinginezo maamzi ni yenu ni ipi inawabariki mnatembea nayo
Hapa tunaona wote mpo kwenye mission ya kukojozana 💦💦
Mnafanya yenu kwa raha zenu mpaka kijasho kinawatoka
Hapo kila mtu anaugulia utamu mpaka mnafika mwisho, wote mnakojoaaaaaa! 💦💦
Sasa swali langu lipo hapa
Nini sababu inayofanya mwanaume aseme eti Nimemla fulani? 😅
Hivi anakua amemla au wamekulana?
I mean, kwenye sex kuna kukula mtu au kuna kukulana?
Unadhani kwanini wanaume hupenda kusema Fulani nimemla?
Ni kwamba siku anapewa na huyo mwanamke, alikuwa ametengewa kama bakuli la kunawia? 😆😂
Chombezo: Wanaume, kwanini mna kaushamba ka kusema Fulani nimemla halafu saa nyingine ukute hata hukumla?
Hua mnataka sifa ?😂
Halafu wanaumeeee!
Hivi ukikaliwa juu na mwanamke mwanzo mpaka mwisho, na yeye amekukula yaani umeliwa 🤪😂
NB: Kulombana sio anasa
ShesRise_1 — Weekend loaded! 🔥
Mkuu, ukikosa hoja unaanza kutaja majina? Tulia, hapa ni JF, si mashindano ya nani ana kelele nyingi. 😂Tumble Kumene
Unataka attention sioUje tufanye hako kaigizo tuone nani anamla mwenzake
Umejuaje kwamba hilo ni jina na ni jina la nani ? 😂Mkuu, ukikosa hoja unaanza kutaja majina? Tulia, hapa ni JF, si mashindano ya nani ana kelele nyingi. 😂
Mkuu, usitafute code kwenye kila kitu. 😂 Nimejibu ulichoandika, si kwamba nina taarifa za mwenye jina hilo. Kama ulikuwa unasogeza uzi mbele, basi nimekusaidia kuupa mwendo. Hakuna siri yoyote hapo.Umejuaje kwamba hilo ni jina na ni jina la nani ? 😂
Nashangaa umejibu hivyo wakati Mimi nimejiandikia kusogeza Uzi mbele na wala sijaandika hoja yeyote na kuComment Chochote kuhusu mada ya Uzi .
Au kwenye hiyo comment Kuna code umeDecipher ?kama ndiyo basi funguka tupate kuelewa kwa Faida ya members
Hilo jina nimeliweka makusudi kama Code mpango mission yangu completed ✅ , namna ulivyo react baada ya kuona hilo jina Kuna ideas nimepata .Mkuu, usitafute code kwenye kila kitu. 😂 Nimejibu ulichoandika, si kwamba nina taarifa za mwenye jina hilo. Kama ulikuwa unasogeza uzi mbele, basi nimekusaidia kuupa mwendo. Hakuna siri yoyote hapo.
Sawa mkuu, nimekupata. Ila kumbuka, watu kuitikia tofauti hakumaanishi wote wamekuelewa vibaya; kila mtu ana namna yake ya kutafsiri mambo. Kila la heri kwenye research yako, ukimaliza tupe mrejesho tujue ulikuwa unatafuta nini hasa. 😂🤝Hilo jina nimeliweka makusudi kama Code mpango mission yangu completed ✅ , namna ulivyo react baada ya kuona hilo jina Kuna ideas nimepata .
Bado mtu mmoja tu , nataka KumChallenge nimReply kwa hilo jina na yeye jinsi atakavyo react hapo nitafunga hesabu ya research yangu .
Asante kwa kushiriki nami vyema mkuu
Nataka nijibu swali kwa vitendoUnataka attention sio
Watu kama nyie mnakeraaNataka nijibu swali kwa vitendo
Asante kwa busara zako .Sawa mkuu, nimekupata. Ila kumbuka, watu kuitikia tofauti hakumaanishi wote wamekuelewa vibaya; kila mtu ana namna yake ya kutafsiri mambo. Kila la heri kwenye research yako, ukimaliza tupe mrejesho tujue ulikuwa unatafuta nini hasa. 😂🤝
Kuna nini tena wewe jasusi😅Hilo jina nimeliweka makusudi kama Code mpango mission yangu completed ✅ , namna ulivyo react baada ya kuona hilo jina Kuna ideas nimepata .
Bado mtu mmoja tu , nataka KumChallenge nimReply kwa hilo jina na yeye jinsi atakavyo react hapo nitafunga hesabu ya research yangu .
Asante kwa kushiriki nami vyema mkuu
😂 Sawa mkuu, nimeheshimu usiri wa mission yako. Ila kumbuka, hata majibu yakibaki Top Secret, matokeo ndiyo yatakayothibitisha kama research imefanikiwa. Kila la heri kwenye mission 🤝😎Asante kwa busara zako .
Siwezi kutoa mrejesho kwani ni mission ya kiusalama inahusisha Top Secrets , majibu ya research nitabaki nayo mwenyewe 😂 🤝