Nani anamiliki Kilimanjaro Schools Arusha?

Ngoja nikahamishe katoto kangu kakaingie chekechea hapo maana kule kalipo usanii mwingi. Nilidhani wasabato wenzangu wanathamini thamani ya mtoto ila sio km nilivyodhani. Hali hatarishi uangalizi mdogo. Mchungaji utanisamehe boresheni mazingira ya shule zetu.
Baadhi ya shule za chekechea zinazomilikiwa na madhehebu ya dini ni hatari. Wanachapa vikoko ni balaa. Nilimpeleka wa kwangu ana miaka minne tu shule ya kikatoliki wanafundisha masista. Alikuwa analia shuleni kila siku mpaka wakasema tumchukuwe. Viboko na kufinya na yeye ni mwoga. BTW niwatahadharishe watu msiangalie tu matokeo mazuri ya mitihani. Siku hizi kuna shule wanafanya kila iwezekavyo ili tu wapasishe na shule zipate soko. Kufaulu mtihani siyo kuelimika! Ni fedha tu zinazokosekana lakini shule kama Tanganyika International School ndiyo hutowa elimu na wanafunzi wamaliza wanakuwa wameelimika kiukweli.
 
Anaitwa Yahaya Mwacha mmiliki wa Kilimanjaro Schools pia ana hisa katika shule ya Modio Islamic ... Ni mfanyabiashara wa kimachame anamiliki nyumba kadhaa mtaa wa Bondeni na Pangani pia ana hisa kwenye mabasi ya Kandahar
 
Baadhi ya shule za chekechea zinazomilikiwa na madhehebu ya dini ni hatari. Wanachapa vikoko ni balaa. Nilimpeleka wa kwangu ana miaka minne tu shule ya kikatoliki wanafundisha masista. Alikuwa analia shuleni kila siku mpaka wakasema tumchukuwe. Viboko na kufinya na yeye ni mwoga. BTW niwatahadharishe watu msiangalie tu matokeo mazuri ya mitihani. Siku hizi kuna shule wanafanya kila iwezekavyo ili tu wapasishe na shule zipate soko. Kufaulu mtihani siyo kuelimika! Ni fedha tu zinazokosekana lakini shule kama Tanganyika International School ndiyo hutowa elimu na wanafunzi wamaliza wanakuwa wameelimika kiukweli.
Hutaki mwanao achapwe?? Wazazi wa siku hizi ni hopeless kabisa
 
Ngoja nikahamishe katoto kangu kakaingie chekechea hapo maana kule kalipo usanii mwingi. Nilidhani wasabato wenzangu wanathamini thamani ya mtoto ila sio km nilivyodhani. Hali hatarishi uangalizi mdogo. Mchungaji utanisamehe boresheni mazingira ya shule zetu.
Mkuu naona unaupeo kiasi fulani wa shule bora Arusha, naomba nisaidie Idea nimpeleke mwanangu shule gani ambayo itakuwa nzuri ya Secondary (Private) kwa Arusha? NB: Napendelea Boarding School na mwanangu ni Mvulana. Shukrani sana Mkuu.
 
Nitakutafutia contact zao uweze kuwasiliana nao. , usihofu.
Mkuu naona unaupeo kiasi fulani wa shule bora Arusha, kama hutojali; naomba nisaidie Idea nimpeleke mwanangu shule gani ambayo itakuwa nzuri ya Secondary (Private) kwa Arusha? NB: Napendelea Boarding School na mwanangu ni Mvulana. Shukrani sana Mkuu.
 
Hakuna kitu hizi shule zimenikifu sana. Katoto kangu kidogo kafe kwa kunyongorota utumbo kwenye shule moja ya kanisa. Kako boarding. Hapo bado manyanyaso ya kila siku maana mishahara hakuna.
Ngoja akasome huko nikishindwa hapo ntapeleka za RC maana nazo nzuri. Potelea mbali akawe imamu au padre
Mmliki anaitwa Yahya Mwacha ni muislamu anae jitambu nimebahatika kusoma na wanae shule moja ya dini kipindi icho

All in all kilimanjaro is among the best school kwa kanda ya kaskazini kuna baadhi ya walimu bora ninao wafahamu wanafanya kazi apo

Hakika huto juta kumpeleka mwanao hapo.

Nakutakia utekelezaji mwema
 
Hakuna kitu hizi shule zimenikifu sana. Katoto kangu kidogo kafe kwa kunyongorota utumbo kwenye shule moja ya kanisa. Kako boarding. Hapo bado manyanyaso ya kila siku maana mishahara hakuna.
Ngoja akasome huko nikishindwa hapo ntapeleka za RC maana nazo nzuri. Potelea mbali akawe imamu au padre
Una maratizo gani mtoto wa chekechea kumpeleka boarding?
 
TAPS ilikuwa nzuri zamani wasabato walishindwa kumantain.
Wasabato tumeshindwa kwenye taasisi zote za Kanisa
Vyuo hovyo
Shule hovyo
Hospital hovyo

Ni dini ambayo tumejificha sana na kuogopa hata kufanya biashara ili Kanisa liwe na uwezo kutoa misaada.
Ila kwa Kenya wasabato wamejitahidi vyuo vyao na shule zao zajitajidi
 
Naungana na wewe kwa hili mf chuo cha Baraton Kenya na Bugema Ug. Wako vzr huwezi linganisha na hapa kwetu. Nadhani u-conservative unachangia
 
Mkuu naona unaupeo kiasi fulani wa shule bora Arusha, naomba nisaidie Idea nimpeleke mwanangu shule gani ambayo itakuwa nzuri ya Secondary (Private) kwa Arusha? NB: Napendelea Boarding School na mwanangu ni Mvulana. Shukrani sana Mkuu.

Ndugu yangu mm mwenyewe mgeni jiji hili. Ndo maana nkaanza kuperuz mitandaoni nilipoona hii shule nkaifanyia utafiti wa kina
 
  • Thanks
Reactions: Ntu
Back
Top Bottom