Mtandao unamilikiwa na kila mmoja ambaye ni part ya Internet isipokuwa mmarekani anapart kubwa na muhimu katika internet na ndiye mwanzilishi kupitia department ya ulinzi ya USA iliyokuja na Project yake ya ARPANet (Advanced Research Project Agency Net)
Nyongeza, kwa mujibu wa shehe yahaya marehemu, baba ya internet ni jini moja la ajabu, akasema lina uwezo kufumba na kufumbua likahamisha ikulu ya magogoni na kuipeleka dodoma na kuonekana kana vile ilijengwa hapo toka awali.
Hapa tunaongea kisomi zaid?? Pls unaweza kutupa reference ya mahali aliposoma huyo sheikh? Kwamba intanet ni jini?
Mi nimejifunza kitu kimoja muhimu hapa. Kwamba hakuna mtu anaweza kuzima switch sehemu huko marekani na dunia nzima ikakosa internet.
Nadhani hapo ndio kwenye jibu la mleta madandy
Je tunge izima satalite na tunge kata uwo mkonga, kutakuwa na internet kweliMi nimejifunza kitu kimoja muhimu hapa. Kwamba hakuna mtu anaweza kuzima switch sehemu huko marekani na dunia nzima ikakosa internet.
Nadhani hapo ndio kwenye jibu la mleta mada.