Nani analipia hizi kesi za akina Lema?

Nani analipia hizi kesi za akina Lema?

Kina kitu wanakitafuta chadema, wanawatuma hao jamaa kusumbua polisi ili kitu fulani kitokee watengeneze documentary kisha waende kulia lia kwa wazungu.
Wapeleke police haraka kwa huo ushahidi uliyonao
 
Kama makada wenzetu wamepokea rushwa ya milioni kumi sijui hiyo hela pia niya chama au kodi za wananchi.. Milioni kumi plz Bring Back our Money
 
Hata wakitutukana jingalao....lkn ukweli unabaki pale pale...kesi binafsi inabidi mtu ugharamie mwenyewe
Wanalipiwa na chama chao through kuwachangisha wabunge wenzao. kwa tetesi zilizopo ni kwamba hata hao wabunge wameshachoka nao na pia wanahisi kwamba hizo kesi ni mradi wa watu flani ndani ya chama ili kuendelea kupiga hela.. kuna mbunge mmoja aliwahi kuuliza faida ya hizo kesi akapewa onyo kali na akaambiwa ameanza usaliti... jiulize kwa nini dogo janja ameamua kujitenga kiaina?...
 
Haiingii akilini mtu unamtumia msg kutoka kwenye cmu yako na kumtukana shoga hlf unategemea kesi yako wakili wa chama aisimamie, haya ni matumizi mabaya ya fedha za chama.

Kwan sio Mpunga??
 
Ni kwamba hizi gharama ambazo wabunge au madiwani haswa wa CHADEMA, wanapotumia midomo yao kuropoka na kwenda kinyume cha sheria na kukamatwa na polisi na kuswekwa ndani, baadae wanakuja mawakili wa chama, kushughulikia kesi zao;

Swali
(a). Hizi gharama huwa zinalipwa na CHADEMAau wao wenyewe watuhumiwa
(b). Kama kinalipa chama ina maana ndo huwa kinawatuma?

Tuchukulie kesi ya Lema na Tundu Lisu hizi gharama zinagharamiwa na CHADEMA?

ungetuambia kwamza ile rushwa ya milioni 10 kwa kila mbunge wa CCM inalipwa na Serikali au CCM ??
 
Ni kwamba hizi gharama ambazo wabunge au madiwani haswa wa CHADEMA, wanapotumia midomo yao kuropoka na kwenda kinyume cha sheria na kukamatwa na polisi na kuswekwa ndani, baadae wanakuja mawakili wa chama, kushughulikia kesi zao;

Swali
(a). Hizi gharama huwa zinalipwa na CHADEMAau wao wenyewe watuhumiwa
(b). Kama kinalipa chama ina maana ndo huwa kinawatuma?

Tuchukulie kesi ya Lema na Tundu Lisu hizi gharama zinagharamiwa na CHADEMA?
Gharama zinalipiwa na sisiemu
 
Usimwamshe aliyelala mkuu, utalala wewe. Acha zuruku ziishie kwenye kesi, chama wana Kaskazini na ndyo wanaozitafuna.
 
Lusinde alishawaambia ikitokea kesi wabunge wa chama wanachangishwa kulipa gharama! Msikilize hapa

Mbona huzungumzii yule aliejivika umungu mtu ambaye kila siku anashitaki watu? Je kesi zake zinalipiwa na nani? Sisi hatukumtuma akaropoke ovyo sasa yy badala yakufanya yenye masilahi ya nchi anatafuta utukufu binafsi, akipingwa tayari kesi, nani hulipia hizi kesi zamadhaifu ya mtu binafsi? Huyu nae angeachwa awe anasimama yy kama yy nakujilipia wanasheria !! Kodi zetu zinatapanywa vibaya sana!!!

Ngumu kumeza, lakini hututakaa kunyamaza hata kama sheria yakunyongwa ingepewa meno !! bado sisi tutasimama kidete kuonya,kukemea,nakupinga hasa pale sharubu za nchi yetu zinachezewa na yyte kwa kujitakia utukufu binafsi,,,,,,,, ....."Mungu hadhiakiwi" eti mniombee!! Kwa nani sasa? Mungu au miungu?
 
Back
Top Bottom