G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,376
- 5,264
- Thread starter
- #41
Mmmmhhh
Sasa wakikosa office wewe kinachokuuma ni nini sasa ulitaka mawakili wasilipwe ili iweje mbona ccm wanahongana million kumi badala ya hzo hela kununulia madawa.
Sasa wakikosa office wewe kinachokuuma ni nini sasa ulitaka mawakili wasilipwe ili iweje mbona ccm wanahongana million kumi badala ya hzo hela kununulia madawa.
Naunga mkono hoja, ila post yako itaondolewa dakika chache zijazo maana ukisema kitu cha mbowe NAONA moderator anakasilika utazani ni mwehuWadau heshima kwenu.
Tunaona wazi kabisa watu wanajitengenezea mtandao wa kulipana posho.
Watu wanakubaliana kaseme hiki ili kitokee kile baada ya hapo fulani atakuwepo atakusimamia kesi then kiasi kitatoka na mgawo ni huu.
Chama kinabakia kinalipia kesi za mtu mmoja tu kila.siku, hii ni hasara, lakini ukijiuliza je nini hasa mantiki ya mkakati huu
PESA,DILI,MISSION TOWN
Hivi ni kwa nini pesa za chama zinapitia kwa huyu jamaa daily?
Nafikiri ni muda muafaka kila mtu abebe msalaba wake, mikoa ya.mbeya na morogoro imetoa wabunge wa upinzani.ni.mara mia ikasaidie ujenzi wa zahanati kuliko hizi mission town.
Na chama cha wala rushwa je kilichoshindwa kuiongoza nchi zaidi ya nusu karne ya kuwa maskini wakutupwa je?Chama.cha wafanyabiashara tu.zaidi sana mfukoni
Naunga mkono hoja, ila post yako itaondolewa dakika chache zijazo maana ukisema kitu cha mbowe NAONA moderator anakasilika utazani ni mwehu
Na chama cha wala rushwa je kilichoshindwa kuiongoza nchi zaidi ya nusu karne ya kuwa maskini wakutupwa je?
Unaweza kulalamika chadema hawana ofisi ukasahau baba yako mpk Leo amepanga na hajui atajenga lini?
Sasa wakikosa office wewe kinachokuuma ni nini sasa ulitaka mawakili wasilipwe ili iweje mbona ccm wanahongana million kumi badala ya hzo hela kununulia madawa.
A political party without an office is shamefull my dear how can you clam to win general election without even an office they are conmanSasa wakikosa office wewe kinachokuuma ni nini sasa ulitaka mawakili wasilipwe ili iweje mbona ccm wanahongana million kumi badala ya hzo hela kununulia madawa.
A political party without an office is shamefull my dear how can you clam to win general election without even an office they are conman
Endelea hivi ni nani alipia mchakato mpya wa dikteta uchwara Tanzania anayeshughulika kuchungulia mitandao yote ya kijamii na kufuatilia viongozi wa upinzani wameongea nini jukwaani. Ni gharama gani na nani analipia!!??Ni kwamba hizi gharama ambazo wabunge au madiwani haswa wa CHADEMA, wanapotumia midomo yao kuropoka na kwenda kinyume cha sheria na kukamatwa na polisi na kuswekwa ndani, baadae wanakuja mawakili wa chama, kushughulikia kesi zao;
Swali
(a). Hizi gharama huwa zinalipwa na CHADEMAau wao wenyewe watuhumiwa
(b). Kama kinalipa chama ina maana ndo huwa kinawatuma?
Tuchukulie kesi ya Lema na Tundu Lisu hizi gharama zinagharamiwa na CHADEMA?