minesy joel
Member
- Sep 7, 2016
- 51
- 25
Unauliza wewe kama nani?nenda kunakohusika ukaulize
uhuni wa chadema na mwenyekiti wake tunauelewaww unahoji hilo wakati kuna chama watu wamepewa 10m bila kodi!!
chadema wamekua bubu kujibu kisa cha uwepo wa kesi za kutengeneza ili kupiga hela ya ruzuku. jinsi walivyo domo kaya ila kwa hili wamekua bubu.Ni kwamba hizi gharama ambazo wabunge au madiwani haswa wa CHADEMA, wanapotumia midomo yao kuropoka na kwenda kinyume cha sheria na kukamatwa na polisi na kuswekwa ndani, baadae wanakuja mawakili wa chama, kushughulikia kesi zao;
Swali
(a). Hizi gharama huwa zinalipwa na CHADEMAau wao wenyewe watuhumiwa
(b). Kama kinalipa chama ina maana ndo huwa kinawatuma?
Tuchukulie kesi ya Lema na Tundu Lisu hizi gharama zinagharamiwa na CHADEMA?
Kweli mkuu hili limewabana...chadema wamekua bubu kujibu kisa cha uwepo wa kesi za kutengeneza ili kupiga hela ya ruzuku. jinsi walivyo domo kaya ila kwa hili wamekua bubu.
Point kama hizi ndo zinazofanya CCM iendelee kukubalika kwa majority, kwasababu wananchi wakiitafuta tofauti ya CCM hawaioni, na ili kutoingia gharama za kuanza kuweka mifumo mipya chini ya serikali ya chama kingine wameona ni bora CCM iendelee tu, sababu kama chadema inafanya mambo similar yanayofanywa na ccm na hawana authority vipi wakiipataww unahoji hilo wakati kuna chama watu wamepewa 10m bila kodi!!
Of course watanzia wooote hao milioni hamsini wana haki ya kuhoji kwani Ruzuku za chama ni kodi zetu! kwani hapo wewe una haki gani ya kutetea halafu wengine wasiwe na haki ya kuhoji?!?!?! Una haki gani zaidi ya wengine?!?!??!?!?! Tutahoji kwani wanachezea pesa za serekali halafu wa kwanza kuuliza TSH milioni Hamsini! iasa za ULAGHAI zimepitwa na wakati they should wake up na kujua Watanzania tunataka nini?!?!?!?!?Ndio maana kuna msajili wa vyama ambaye vitabu vilivyokaguliwa copies zinapekekwa kwake, unaweza kwenda kuangalia huko.
Hivi kila mtu miongoni mwa Watanzania milioni 50 akija JF akihoji abajibiwa, ajiwa FB au mtandao wowote ajibiwe na mikutano ya hadhara wajibiwe sii hesabu za mwaka mmoja zitachukua miaka mitano kuwajibu wote?
Big up mkuuOf course watanzia wooote hao milioni hamsini wana haki ya kuhoji kwani Ruzuku za chama ni kodi zetu! kwani hapo wewe una haki gani ya kutetea halafu wengine wasiwe na haki ya kuhoji?!?!?! Una haki gani zaidi ya wengine?!?!??!?!?! Tutahoji kwani wanachezea pesa za serekali halafu wa kwanza kuuliza TSH milioni Hamsini! iasa za ULAGHAI zimepitwa na wakati they should wake up na kujua Watanzania tunataka nini?!?!?!?!?
Km hayakuhusu. Labda uliza Lumumba hizi kesi zinapoishia kubwagwa huwa hawaoni aibu?Ni kwamba hizi gharama ambazo wabunge au madiwani haswa wa CHADEMA, wanapotumia midomo yao kuropoka na kwenda kinyume cha sheria na kukamatwa na polisi na kuswekwa ndani, baadae wanakuja mawakili wa chama, kushughulikia kesi zao;
Swali
(a). Hizi gharama huwa zinalipwa na CHADEMAau wao wenyewe watuhumiwa
(b). Kama kinalipa chama ina maana ndo huwa kinawatuma?
Tuchukulie kesi ya Lema na Tundu Lisu hizi gharama zinagharamiwa na CHADEMA?
.....Km hayakuhusu. Labda uliza Lumumba hizi kesi zinapoishia kubwagwa huwa hawaoni aibu?