Hili swali zuri. Viongozi wa Chadema wepesi sana kuitukana serikali. Gharama za kesi zao analipa nani?
Nakumbuka wakati ule Mtikila alikuwa na watu wamemuahidi kumlipia kesi zake zote.
Having said that,bado nafikiri kwamba Lema anapaswa kuachiwa sasa hivi,bila masharti yoyote. Aachiwe huru kwa heshima ya nguli wa siasa,Samuel Sitta.
Kwa sababu kama mbunge hili ni jambo ambalo linamhusu Lema
Ukimweka mahabusu sasa Lema,ni kama kumweka mahabusu wakati baba yake amefariki.
Kama hakuna sababu za msingi it is something that must not be done.
This is an end of an era. It seems only yesterday Sitta alipowaongoza wanafunzi chuo kikuu kupinga mishahara mikubwa ya viongozi wa serikali na sasa Sitta amefariki.
It seems huyu Sitta alianza political career yake kwa kulalamika kuhusu mishahara mikubwa ya viongozi.na ameimaliza political career yake kwa kuwatajirisha vionglzi wengi alipokuwa slika wa bunge la katiba.
Na hapo ndipo inaonekana importance ya Sitta
Kikwete alipowaahidi wale wabunge fedha nzuri kutunga katiba,wakamchagua Sitta kuwa Spika,kama mtu pekee.anayeweza kusafe-guard yale malupulupu fantastic. He was the only who could pull it off.
Kwa hiyo Sitta akaiongoza rip off ya wananchi. Sasa wapo watu wanasema katiba ina walakini,wanataka mchakato wa katiba uanze upya. Of course wanataka uanze upya!