Nani anakumbuka hii??

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
.............
 

Attachments

  • mpira.jpg
    mpira.jpg
    52 KB · Views: 400
Au wengine walikuwa wanafunga soksi za shule unakuwa mpira, ila nadhani pembezoni mwa miji hilo bado lipo usishangae kuona
 
Nakumbuka ulikua una omba usipate shuti ya tumbo,utalala chini nusu saa.
 
Duh, wakuu mnanikumbusha mbali saaaaaaaaaaaana! Ukicheza unajaa vumbi kama umevaa soksi ndefu!
 
Back
Top Bottom