Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,347
- 2,754
Kabla ya USB, kabla ya kupakua Windows moja kwa moja mtandaoni… tulikuwa tunatembea na CD ya Windows mkononi.
Ukihitaji kusakinisha mfumo, CD ikiingia kwenye kompyuta, ndipo safari inaanza. 😅💻
Na ukiona imeandikwa Windows XP kwenye hiyo CD, ujue ulikuwa umejipanga! 😂🔥
Enzi zimebadilika, teknolojia imeenda mbali… lakini kumbukumbu za CD hizi hazifutiki. 🥹💿
👉Ni nani bado anakumbuka enzi hizi? 😄