halafu kuwa goal keeper nayo ishu kweliha ha ha......duh tumetoka mbali
Sawasawa kabisa nafikiri tuliishi maeneo yanayofanana na sisi kwetu iliitwa sembo......wakati mwingine kuna gombania goli.............Viatu vya chachacha (vingine mabondo) ndiyo ilikuwa fasheni ila kwenye jua kali utajuta kuvivaa!
hii si tulikuwa tunachezea 'one-touch'
aisee wewe kumbe nikikufuatilia naweza kukuta ni jirani yangu lol
Mkuu umenikumbusha siku moja jamaa waliniwekea jiwe ndani ya mpira halafu juu mpira ukasukwa kama kawaida. Wakati napita kitaa, jamaa wakaniita nicheze na jamaa mmoja "one touch", mwanangu ile mpira umerushwa si nikaupiga kwa mbwembwe kilichonitokea ni soo ikafikia wazazi husika kupelekana polisi, na mpaka leo mguu wangu kuna kipindi unauma sana..............
Mkuu umenikumbusha siku moja jamaa waliniwekea jiwe ndani ya mpira halafu juu mpira ukasukwa kama kawaida. Wakati napita kitaa, jamaa wakaniita nicheze na jamaa mmoja "one touch", mwanangu ile mpira umerushwa si nikaupiga kwa mbwembwe kilichonitokea ni soo ikafikia wazazi husika kupelekana polisi, na mpaka leo mguu wangu kuna kipindi unauma sana.
Kinyengo-enzi hizo Mbeya.
Mkuu ahsante na wewe nakutakia jumapili njema. Acha nielekee Uwanja wa Taifa nikamuone Mnyama atafanya nini leo.pole sana mkuu
Doso ama ndoso...Linaitwa SAMBI!Halafi ilikuwa marufuku kupiga doso ama ndoso!
Mkuu umenikumbusha siku moja jamaa waliniwekea jiwe ndani ya mpira halafu juu mpira ukasukwa kama kawaida. Wakati napita kitaa, jamaa wakaniita nicheze na jamaa mmoja "one touch", mwanangu ile mpira umerushwa si nikaupiga kwa mbwembwe kilichonitokea ni soo ikafikia wazazi husika kupelekana polisi, na mpaka leo mguu wangu kuna kipindi unauma sana.
Jirani wa zamani au wa sasa......make kwa sasa sivai mabondo kabisa