Nani anakumbuka chupi za VIP?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,134
2,000
Nimekumbuka kitu kimoja nikiwa katika baa moja nimeletewa chupi na chinga. Chupi za kichina. Mwisho wake nikakumbuka vyupi vya VIP nilifurahishwa na ufungaji wake katika boks (Prkg) ila nakumbuka kadhia yake kukatika ktk maungio. Kamkanda kachi. Hapo nazungumzia 80's

1581686204912.png
 
Lukansola

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
5,445
1,250
Usipokuwa makini na hayo maungio unaikuta kiunoni kama mkanda, nakumbuka baba yetu alituletea alipotoka zanzibar tukawa tunaziita chupi za zanzibar (tukiwa watoto) kiiza bwana hivi unawaza nini wewe? Umenukumbusha mbali.
 
KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,134
2,000
Usipokuwa makini na hayo maungio unaikuta kiunoni kama mkanda, nakumbuka baba yetu alituletea alipotoka zanzibar tukawa tunaziita chupi za zanzibar (tukiwa watoto) kiiza bwana hivi unawaza nini wewe? Umenukumbusha mbali.
Mkuu nimekumbuka mbali nipo sehemu ya kilaji Rombo shekilango kuna chinga akaleta chupi za mpira nikakumbuka V.I.P nikaona ngija niwakumbushe watu wangu!Sikingine!Maana mimi nilikuwa nipo primary nakumbuka nilikywa nanunua gulioni!Waganda ndio walikuwa wabaziindiza!!Tuna nunua kwa sh,200!!
 
Bobo Ashanti

Member
Nov 4, 2010
49
0
nakumbua ilikatika nikiwa nacheza mpira huku nikiwa kifua wazi nilishanga imefika tumboni bahati nzuri hakukua na mashabiki
rafiki alipiga chogo chemba tukicheza mpira vip ikakatika maungio alipoinuka akakuta imepenya kwenye bukta iko kifuani kama sidiria.
 
MZAWATA

JF-Expert Member
Feb 10, 2011
557
195
ebana ee dah umenikumbusha mbali sana mkubwa! zilikuwa ishu tena sana tu. ikikatika unaikuta miguuni kiunoni karibu sana, yan dah ilikuwa soo ucpime, lakin ikiwa mpya nakumbuka ulikuwa unaitega ili watu waione hasa upande wa pili uleeee!
 
mashikolomageni

JF-Expert Member
Jan 5, 2010
1,568
1,250
Je mnazikumbuka zingine zilikuwa na kibati hivi 007

Ila VIP zilikuwa noma ukicheza mpira kifua wazi matukio hayo yalikuwa mengi sana, Mmenikumbusha mbali sana 80s niko kahama shy
 
Yakuonea

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
600
500
halafu ivi zilikuwa na size maalum,au zote zilikuwa free size ? maanaka nakumbuka mzee alituletea the same size mimi na bro wangu lkn kila mmoja ilim-fit vzr tu,duu afu kuna wadada wengine walikuwa wanazihusudu kweli
 
KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,134
2,000
halafu ivi zilikuwa na size maalum,au zote zilikuwa free size ? maanaka nakumbuka mzee alituletea the same size mimi na bro wangu lkn kila mmoja ilim-fit vzr tu,duu afu kuna wadada wengine walikuwa wanazihusudu kweli
Yeah zilikuwa na size ila ikiwa mpya ilikuwa inatite kinoma!ikizeeka inakuwa kama mufuko utite wote unapotea lasitiki zinalegea na usilogwe ukakuta kiuzi kinaning'inia ukakivuta yote inafumuka!Na kumbuka 007 zilikuwa kama bukta zina mistari ya kusimama utadhani shati!!Tumetoka mbali.
 
Yakuonea

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
600
500
ni kweli kabisaa ukisema uvute kinyuzi hapo huna chupi tena,duu halafu ila combination ya rangi.... sikumbuki kama kulikuwa na VIP za rangi moja
 
Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
27,357
2,000
yeah zilikuwa na size ila ikiwa mpya ilikuwa inatite kinoma!ikizeeka inakuwa kama mufuko utite wote unapotea lasitiki zinalegea na usilogwe ukakuta kiuzi kinaning'inia ukakivuta yote inafumuka!na kumbuka 007 zilikuwa kama bukta zina mistari ya kusimama utadhani shati!!tumetoka mbali.
hivi zilikuwa made in wapi?zilimtesa sana bro wangu,jamanii
 
Lukansola

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
5,445
1,250
Yeah zilikuwa na size ila ikiwa mpya ilikuwa inatite kinoma!ikizeeka inakuwa kama mufuko utite wote unapotea lasitiki zinalegea na usilogwe ukakuta kiuzi kinaning'inia ukakivuta yote inafumuka!Na kumbuka 007 zilikuwa kama bukta zina mistari ya kusimama utadhani shati!!Tumetoka mbali.
Aah ha ha ha, ukivuta uzi inafumuka yote, kweli kiboko, kipindi fulani pia tulivaa chachacha, unazikumbuka, viatu vya matairi je, na zile nguo za kupika, hakuna mitumba enzi hizo mtu akitoka majuu anakuja na raba mtoni, mabaharia wakanakuja na GURUWE Peugeot 504 nyuma ina kidude cha kufungia tela ingawa sikuwahi kuona hata moja ikivuta tela, pia kuna wakati tulikula ugali wa njano do you remember kakakiiza
 
KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,134
2,000
Aah ha ha ha, ukivuta uzi inafumuka yote, kweli kiboko, kipindi fulani pia tulivaa chachacha, unazikumbuka, viatu vya matairi je, na zile nguo za kupika, hakuna mitumba enzi hizo mtu akitoka majuu anakuja na raba mtoni, mabaharia wakanakuja na GURUWE Peugeot 504 nyuma ina kidude cha kufungia tela ingawa sikuwahi kuona hata moja ikivuta tela, pia kuna wakati tulikula ugali wa njano do you remember kakakiiza
Nakumbuka vyote mkuu je wewe unakumbuka mashati tunaweka lebo ya soda ya Double cola???unapiga pasi inabaki picha ya chupa za Double cola au shati za ndege,Jeans za Zico,Maradona,Michel Jackson??Raba petty
 
kanyagio

JF-Expert Member
Dec 10, 2009
1,018
1,500
Je mnazikumbuka zingine zilikuwa na kibati hivi 007

Ila VIP zilikuwa noma ukicheza mpira kifua wazi matukio hayo yalikuwa mengi sana, Mmenikumbusha mbali sana 80s niko kahama shy
mmenikumbusha mbali, kuna mshikaji wangu alikuwa anacheza mpira wakati tupo sekondari, akaumizwa na kila mtu akakimbia kumwangalia kati kati ya uwanjani.. toobaaa!!! VIP ilishakatika ipo kifuani.

unaposema marashi ya BRUT inanikumbusha dada mmoja alikuwa anaipenda mpaka tukawa tunamuita BRUT (mungu mlaze mahali pema)
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom