Nani anakumbuka chupi za VIP?

Zilikuwa nzuri kwani zilikuwa zinabana vilivyo 'dudu' ndo sababu wengi wetu wa enzi hizo 'dudu' zimelalia kushoto.
Mmenikumbusha mbali mno.
Heeeeee makubwa haya ooh kumbe ndo sababu regam duh.
 
Kaka mkubwa mi naikumbuka hii ilikua na uwezo wa kuhifadhi na kuzalisha CHAWA kwa kiwango cha kipekee.
 
Kweli hamna cha mtumba wala nini..nakumbuka shati langu la shule jeupe nikalibandika yale mastika ya'take me'nikawnda nalo shule..kibano nilichokipata ctasahau..sababu nilichapwa shule na mzee akaitwa shule akanichapa mbele ya walimu..duh tuliosoma zamani tulifaidi shule..

Freddie, Bila kuisahau hilo shati la shule mgongoni limepigwa pasi kwa mikunjo inakuwa kama kashata hivi, unakumbuka?
 
Zilikuwa nzuri kwani zilikuwa zinabana vilivyo 'dudu' ndo sababu wengi wetu wa enzi hizo 'dudu' zimelalia kushoto.
Mmenikumbusha mbali mno.

Ha ha ha ha from research point of view au? ha ha ha hi hi hi hi inawezekana mipira yake ya kushoto ilikuwa ina nguvu sana!!
 
mafuta ya ayu then yakiisha kopo lake unageuza compass, unavunja pencil vipande vitatu + kichongeo + coins au kama bic inafanyiwa modification hadi itoshe.
 
Mwanangu zile chupi zilikuwa noma zilimuumbua mshikaji wangu tukiwa disco mbele ya mademu, jamaa alikuwa kifua wazi kwa ule mzuka wa muziki chupi ikapanda mpaka tumboni ilikwa soo.Hata hivyo mimi nazifagilia na ningependa zirudi tena kwenye game isipokuwa watengenezaji waboreshe pale katikati kwenye uzi ili ziwe imara.
 
Freddie, Bila kuisahau hilo shati la shule mgongoni limepigwa pasi kwa mikunjo inakuwa kama kashata hivi, unakumbuka?
...Bila kusahau kama ni wewe ni mvulana ndio uko std VII (LY) unachomekea shati kwa nyuma then mbele unaliachia halafu kama una nywele nyingi kidogo ili uonekane gangwe unaziweka katika mtindo matuta, chini umepiga chachacha au safari buti iliyoanza kuchakaa shuleni kwetu tulikuwa tunaita ubuyu!!
 
Hiyo VIP inanikumbusha mbali sanaaa....Ila ilikua inaweka mazingira ya mwanume vizuri sana ukiivaa yaani inakuonyesha umeumbika vema je mnakumbuka na yale mafuta ya YOLANDA na AYU kwenye vile vimikebe???
 
Naikumbuka sana hasa kitendo chake cha kubadilika kuwa sidiria mara kile kimkanda kilipokuwa kikikatika. Je. unakumbuka raba za DH? au Dodoma Hoteli.
 
hahahaha....dah hii chupi inakumbusha wengi mabli..kwanza ilikuwa inabana pu m bu sana.
rafiki alipiga chogo chemba tukicheza mpira vip ikakatika maungio alipoinuka akakuta imepenya kwenye bukta iko kifuani kama sidiria.
 
dah..sijawahi kuziona hizo chupi ila nimefuatilia kwa wadau hapa ofisini nikapata picha halisi..kila mtu ana stori ya kuhadithia kuhusu hizi chupi
 
Vipi kuhusu matukio mbalimbali ya kustajabisha eti mtu kageuka chatu buguruni!hivi hii ilikuwa kweli?mtujuze mlioweza shuhudia tukio
hapo mkuu umenikumbusha mbalisana,tulikuwa wadogo mwisho mwisho wa miaka ya 80,tulikuwa mitaa ya mwembechai,duh sikulala usiku...years pass by
 
...Bila kusahau kama ni wewe ni mvulana ndio uko std VII (LY) unachomekea shati kwa nyuma then mbele unaliachia halafu kama una nywele nyingi kidogo ili uonekane gangwe unaziweka katika mtindo matuta, chini umepiga chachacha au safari buti iliyoanza kuchakaa shuleni kwetu tulikuwa tunaita ubuyu!!


Aaaah ha ha ha ha ha!! Sajenti hii ya ubuyu ni kali kinoma, na kweli bana, safari buti ngozi yake imekaa kama ubuyu kabisa
 
Kwenye mashindano ya awali ya UMMISETA jamaa yetu mkimbia mita 100 alivaa VIP; ikakatika akiwa anakaribia finisshing line..Taabu aliyekuwa ameshika stop watch alikuwa Mwalimu wetu wa phyisics wa KIKE; alitupa stop watch kwa yale aliyoona.=VIP ilikuwa kifuani kama KANCHIRI (sidiria) na huku chini mambo yalikuwa kama mtu anatumia KOMBEO kurusha jiwe...Haahahaaaaaahhhhaaa!! VIP....Kukatika kwake ilikuwa ni kitu hatari hasa kama unakimbia na KUNA WATAZAMAJI..
 
Wewe uliyekuwa unapaka YOLANDA ulikuwa matawi ya juu...Wenzio tulikuwa tunapaka ASHANTI...Kikopo cha njano kama dawa ya ng'ombe.....Unameremeta kama umepaka siagi..Taabu uguswe na vumbii..Utadhani umekandika DONGO juu ya ngozi!! Those good oldd days
 
NIMECHEKA KIDOGO JAPO KUNA TRAFFICK ALITIA NYOONGO SIKU YANGU......... hii mada ipelekwe kwenye jukwaa la kufurahi ili tutanue mbavu zetu wajameni
 
Back
Top Bottom