GANJA ROLLER
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 709
- 274
Mi nilimpenda Ndende na Monalisa na yule ras alikuwa anaitwa na kweli?
RIP Tyson the Executive Director wa Girlfriend
Nakumbuka nlkua form one enzi hizo ilkua tamu sanaZuwena alafu TID alikuwa anaitwa nani vile? Dah enzi za primary hizo tukimaliza kusimuliana No retreat no surrender tunahamia kwenye girldriend na Augua! Lol
Umeipta wap mkuuAhaaa muvi hii atimaye nimeipata ninayo kwenye PC
Itupie humu mkuuAhaaa muvi hii atimaye nimeipata ninayo kwenye PC
ErickZuwena alafu TID alikuwa anaitwa nani vile? Dah enzi za primary hizo tukimaliza kusimuliana No retreat no surrender tunahamia kwenye girldriend na Augua! Lol