Mkuu ccm ni Chama Cha Mashetani. Wanapenda Amani lakini wanaichukia Haki hadharani.Katika hali isiyo ya kawaida kumekuwepo na sintofahamu ya kukamatwa Mwenyekiti wa Chadema Mh. Tundu Antiphas Lissu na kufunguliwa mashtaka ya uhaini, swali ni je? nani anaharibu amani ya taifa letu Tanzania, anayetumia nguvu na kusisitiza uchaguzi uende anavyotaka yeye au yule Lissu anayesema jamani turudi mezani ili tuangalie mifumo yetu ya uchaguzi, bila shaka anayeiharibu amani ni viongozi wa CCM wanaotumia nguvu na kusisitiza uchaguzi uende wanavyotaka hawa ndio adui namba moja wa amani ya taifa letu.