Habari zenu wanajamvi. Eid fitr,
kwa mara ingine naomba tujadili yetu kwa mustakabali wa taifa hili kuwa nani anatufaa kuwa rais 2015 kati ya prof.anna tibaijuka, mh.bernad membe na mh.lowassa?
Kiufupi watanzania wengi wanasema msomi ni msomi tu. Anajua mambo mengi sana ukilinganisha na asiyesoma au mwenye elimu ndogo. Sasas kazi ni kwenu kuwa nani zaidi kati ya prof. Wa uchumu mwenye uwezo wa kutatua changamoto za umaskini, watoto wasio na malezi, ukusefu wa ajira, maendeleo kwa watanzania, n.k?
Hapa itabidi wanaotaka utawala wakujipatia umaarufu wawapishe viongozi wenye nia ya kuwatumikia wananchi.
Hapo ndipo tutakua na uongozi bora unaomjali mwananchi na tanzania yetu.
Nawakilisha NDG.ZANGU[Prof. Tibaijuka hashikik kwa hao wote. Prof. Tibaijuka yupo poa sana na mtu makini sn anapaa. anafanya maamuzi magumu na yenye busara na sahihi mara bzote. kiufupi endapo ccm itampitisha basi hata mm na ukawa wenzetu tunamgwaya sana kwan hana kashfa yoyote ile.