Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

Waungwana naomba mulonge si kwa ushabiki wala unafiki, ila kwa hoja zilizoshiba na zenye mashiko. Kama uchaguzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ungefanyika leo, ni nani ungempa kura yako aiongoze Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kati ya Dr. MAGUFULI na EDWARD LOWASA?
Kiongozi ambae ataweza kututoa kwenye hii bahari ya Ufukara, asimamie haki na kutetea maslahi ya wanyonge wa Tanzania na raslimali zao ambazo kwa mda mrefu sasa zinawanufaisha wachache hasa wa tabaka tawala?
Najua wengi ni wakereketwa wa vyama fulani fulani vya siasa hapa nchini, naomba tutoke huko kwa mda mfupi, tujengane kwa hoja zenye mashiko bila kujali chama cha siasa wanachotoka niliowataja.
Mashiko ya hoja zenu, yatatujenga wengi na kutoa mwelekeo mpya wa harakati zinazoendelea hapa nchini na baadhi ya vigogo wenye nia ya kuwania nafasi hiyo 2015.
By LULAMSO
 
kwa kusimamia haki na kuleta nidhamu kwa watumishi magufuli is the best.
 
Waungwana naomba mulonge si kwa ushabiki wala unafiki, ila kwa hoja zilizoshiba na zenye mashiko. Kama uchaguzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ungefanyika leo, ni nani ungempa kura yako aiongoze Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kati ya Dr. MAGUFULI na EDWARD LOWASA?
Kiongozi ambae ataweza kututoa kwenye hii bahari ya Ufukara, asimamie haki na kutetea maslahi ya wanyonge wa Tanzania na raslimali zao ambazo kwa mda mrefu sasa zinawanufaisha wachache hasa wa tabaka tawala?
Najua wengi ni wakereketwa wa vyama fulani fulani vya siasa hapa nchini, naomba tutoke huko kwa mda mfupi, tujengane kwa hoja zenye mashiko bila kujali chama cha siasa wanachotoka niliowataja. Mikataba isiyo na tija kwa Taifa, hofu ya kuwawajibisha mafisadi, wala rushwa na wimbi la uanzishaji wa mifumo ya utendaji kazi isio na tija kwa Taifa iwe dira yetu katika kuchambua uwezo wa wawahusika niliowataja hapo juu kwenye nafasi ya Uraisi wa nchi hii.
Mashiko ya hoja zenu, yatatujenga wengi na kutoa mwelekeo mpya wa harakati zinazoendelea hapa nchini na baadhi ya vigogo wenye nia ya kuwania nafasi 2015.
By LULAMSO
kwa upande wako mleta mada unaona nani anafaa na kwa hoja zipi?

kwa upande wangu lowassa anafaa zaidi sababu ni man of actions,yupo focused kwa kile anachofanya,ana vision kubwa ambazo viongozi wengi hawana,ni mcha mungu,sio mzinzi kama viongozi wengi.
 
Ni mwizi kibaka mzoefu , bwana tamaa ka fisi , kwanza nguvu hana lakini bado anasaka urais
 
Huu ni Uharisho, CCM has given us four presidents since we got independence, 50 Years down the road na walichotupatia ni disappointments and poverty, the time has come we select for ourselves a president with a different mindset.
 
Mpiganaji unaonaje kama ungeacha chama pembeni ukawatazama wahusika kama nilivyoomba?
 
Edward Lowasa, mwl, Nyerere hakumpenda kwa sabababu ya tamaa ya kujikusanyia mali kwanjia haramu na alipo kuwa waziri mkuu kashfa ya Richmond iliyoisumbuwa nchi na kupelekkea kujiuzulu uwaziri mkuu,maana ya kujiuzulu ni kukiritatizo.

John P. Magufuli. kashfa ya kuuza nyumba za serikali kwa bei ya kutupa,mali ya watanzania alipokuwa waziri wa nyumba na makazi.ni nani yukotayari kuthubutu kuwaleta watu hawa kwa makosa waliyoyawafanyia watanzani,kuwafikiria watu hawa ni kuamini Tanzania ni kichwa cha mwendawazima.

cc. Ukwaju
 
Last edited by a moderator:
Wana Kilimanjaro wao hawataki Uraisi

Wachaga wanataka ma business tu, mipango ya fwedha...

Wachaga wanataka fremu za maduka tu

Mavyeo kama maCEO tu, mameneja, ma director tu, mipango ya pesa.

Kumbukeni kuwa Raisi haruhusiwi kufanya biashara, sasa pesa atapata wapi... Bila pesa utakula bata weeweee....

Chezea Katiba mpya weye.... Hakuna kula rushwa tena.... Kaa chonjo....
 
Back
Top Bottom